Konakali
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 1,533
- 266
Halafu kama story kama hii ilishanitokea vile.....! Labda natamani ningewepo somewhere nikicheki kwa mbaaaaaaali akikusimulia.....! Hahahaha, sipati picha walahi....!kwa ujinga gani nilionao mpaka ajue ID yangu?
Kuna siku aliwahi nisimulia sredi yangu nilicheka sana
Nami mmasai pia.... huku nashindwa kuongea hadharani.... huenda ukanishtukia labda ndio mwenyewe huyo..... hahahaha...Nilishasema kuwa sitomsaliti BF wangu (Mmasai) hata kwa kipi.Pia naamni Mmasai ananiweza sana ingawa mpaka tulazimishane kwa mambo yake ya dini.