Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nafikiria nikifanya hvyo tapita na wangap?
Nilivyomuelewa mimi ni kuwa hajawai kuishi nyumba moja yaani kipindi cha mahusiano kila mtu alikuwa akiishi kivyake
Naitwa karry,nna miaka 23,binti wa kitanzania mwenye rangi ya maji ya kunde na urefu wa fut 5...nywele urefu wa mabega, si mnene wala mwembamba, sio mrembo lakini navutia,sina mpenz wala mchumba,sina mtoto wala sijawai ishi na mwanaume...nina elimu ya diploma katika maendeleo ya jamii.Napenda kusikiliza na kucheza mziki,kucheza volleyball na netball, pia napenda utani.
Nina matatizo ya kuogopa mahusiano, kila ninapopata rafiki wa kiume,hua nahisi anani cheat,....hii ilitokea nilipomwona mpenz wangu wa1 akiwa kitandani na rafiki yangu wa karibu
Sipendi kuishi nikiwa mpweke lakin kwa upande mwingine naogopa kuwa na mpenz.....
Naomben ushauri,.. nifanye nini?..
Mkuu subiri nifuate pm mimi mwenyewe nimpende mpaka aombe poo.Muanze Ww Uliependa, Mfate Pm.
Fanya Fasta Maana Anatamanisha!!Mkuu subiri nifuate pm mimi mwenyewe nimpende mpaka aombe poo.
Mbona umenibania ujumbe wangu?.... na cv yangu nimetuma!!nina iman nimeingia sehem husika, mategemeo yangu ni siku moja nisahau kilicho nitokea.....niishi kwa amani kama watu wengine,..asanteni kwa ushauri wenu hakika nitajitahid kuufata.