Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hi mambo, kama kweli una nia naomba ni pm nakiuahidi sitakuangusha ntakufariji. mpaka utakapoona inatosha kwa moyo wako pia pole kwa tatizo linalokusibuNaitwa karry,nna miaka 23,binti wa kitanzania mwenye rangi ya maji ya kunde na urefu wa fut 5...nywele urefu wa mabega, si mnene wala mwembamba, sio mrembo lakini navutia,sina mpenz wala mchumba,sina mtoto wala sijawai ishi na mwanaume...nina elimu ya diploma katika maendeleo ya jamii.Napenda kusikiliza na kucheza mziki,kucheza volleyball na netball, pia napenda utani.
Nina matatizo ya kuogopa mahusiano, kila ninapopata rafiki wa kiume,hua nahisi anani cheat,....hii ilitokea nilipomwona mpenz wangu wa1 akiwa kitandani na rafiki yangu wa karibu
Sipendi kuishi nikiwa mpweke lakin kwa upande mwingine naogopa kuwa na mpenz.....
Naomben ushauri,.. nifanye nini?..
At last ombi lako limejibiwa leo: Nimepata bila kuomba, Asante love connect, Asante JFMrejesho jamani,tafadhali karrythas
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Njoo kwangu usafishe nyota. Teh