Mkulungwa01
JF-Expert Member
- Jul 14, 2021
- 3,977
- 5,339
Hoja yangu ni hii. U handsome haupotei kama siyo kutoweka kwa kuota ndevu, bali kwa kukonda pekee. Wewe umesema maisha yamekukomaza na ndevu hunyoi so siyo handsome tena na unalazimika kutongoza. Sasa mimi nakisahihisha kuwa, kwa maelezo yako hukuwa na hukuwahi kuwa hb kwa sababu ukizaliwa hb wewe ni hb tu iwe unafuga ndevu au umezeeka.Nilipigwa na nan sasa au unawaonea wivu madem nliowatomba yan cjui hoja yako ninini
Nikakupa mfano, si unamuona JK? Mimi hapa ni mzee na nina madevu ila nawala balaa.
Ndiyo maana nikasema kuwa ulipigwa kijana wangu.