Naogopa kuwa mama

Wewe ni mimi kabisa,mwanangu wa chekechea akitoka shule anafua soksi na lesso yake,akimaliza kula anatoa sahani na anasafisha alipolia chakula,sasa huyu mama mwenzetu kachagua kuwa mtumwa Kwa watoto wake mwenyewe Kwa kigezo cha kuwapenda!! Hawafundishi maisha !!!
 
Una umri gani? Kingine inaonekana umelelewa kimayaiyai, mama yako alipaswa akufundishe maisha ya kazi na kujitegemea. Usifikiri atakuwepo maisha yako yote, learn to be independent girl! Life is not that easy. Ukiona unaogopa maisha jua bado wewe ni mtoto, na utegemezi mwingi hufanya watu kuhisi hawawezi kuwa na maisha stable wakiwa wenyewe
 
Asante kwa ushauri mzuri rafiki, ubarikiwe sana
Ahsante!

Mfanye ajivunie kuwa elimu anayotoa imefika na umeitambua nafasi yako kama mwanamke kwenye familia ili hata pale utakapokuwa na familia yako asiwe na wasiwasi kuwa hautomudu.

Muhimu: Ukijaaliwa kupata watoto wafundishe kwa nadharia na vitendo.
 
Kuwa Mama ni jukumu la aina yake.

Sio lazima uwe mama.

Fanya kile ambacho moyo unataka (chamsingi upate mwenza ambaye naye hataki kuwa Baba. Na hapa angalia nje ya nchi, kwa nyumbani hapa utachelewa).
 
Tanua miguu hiyo tukojolee ndani.
 
Mungu ambariki sana mama yako, nashauri nyinyi watoto kma inawezekana mumtafutie msaidizi sasa baada ya kuona anavyojituma. Shida ni kuwa kwa umri unavyokwenda anaweza kupata tatizo la kiafya. Mpendeni sana mama yenu.
 
Exactly
 
Mimi sio mvivu ila una hoja.
Leo hayimaye nmekutana na mtu mwenye hofu ya kuwa mama kama mimi.
Naona kuwa mama ni kujitoa 100% yani ujitoe haswaa kwa ajili ya mwanao.
Sasa mimi kwakweli kwa hali nilionayo naona siwezi yani siwezi kwa sasa.... nikimwangalia na mama angu ndo kama mama ako yani anajitoa haswaa hapumziki kwakweli hio inaniogopesha sana.
-kuwa single mother ndo naogopa kama ukoma
Kwakweli sijui kama naona muelekeo wa kuzaa wallah na woga huu ukiendelea najiona nikiishia hivi hivi
 
Nimeshangaa sana aisee.
Naona hii itakuwa kwenu tu. Sababu kikawaida watoto wa kike ndio hufunzwa na kumsaidia mama yao tangu wadogo. Na wakiwa wengi hupangiwa zamu. Mama huwa anaamua afanye kazi au aache unless kama watoto hawapo nyumbani. Ila mama anakuwa kama bosi na kazi yake ni kusimamia tu.

Kwa mwandiko naweza kusema wewe utakuwa kati ya 20 mpaka 27, not more than that, kama ni zaidi ya hapo basi itakuwa ajabu zaidi. Sababu utakuwa na akili za kitoto kupitiliza. Na bila shaka mama yenu atakuwa amewadekeza kupitiliza, that's why hamuwezi hata kuona aibu na kumuomba kumsaidia. Na that's why umepata ujasiri wa kuja kuandika humu bila kujua ni kitu cha ajabu na cha aibu kilichokosa utu. Watoto wa Kishua probably, out of touch with reality.

Na kwa hayo malezi aliyowalewa mtakuja kupata tabu sana soon enough, hasa ndoani. Hakuna mwanaume atakayekubali kuona nyumba na familia vipo hovyo sababu mke anaenda kazini.
 
wenzako wanaogopa kwenda kustretch mtoto apite, wewe unaogopa shughuli za kidunia? mwanamke gani wewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…