Naogopa kuwa mama

Nimeishia hapo uliposema hamjawahi kufua, kufanya usafi n.k

Inaonekana nyie ni wazembe watu wazima msiojiongeza. Mpaka mtu unafikia kuwa una ajira maana yake umeshajitambua labda kwa hao wanaosoma.

Kwaupande wangu sijafurahia wewe kuona ufahari kuwa mpaka sasa mama anakufanyia kila kazi. Sijapenda kabisa. Nakushauri uanze kujiongeza rafki yangu angalau mama nae apate ahueni.

Hongera kwa kuwa na mama bora.
 
Hakuna mtu anafanya kila kitu mwenyewe mkuu, lazima wewe ukiwa mama utagawa kazi kwa wote wanaoishi ndani kwako. Lazima uwe na skills za management ya nyumba yako, kulea sio mzigo kihivyo.
Nilidhani hofu ni kuingia leba, kumbe ni management ya nyumba.
 
Ni vile kazi yangu inanikeep busy sana, lakini ninapopata nafasi mama hua hapendi kusaidiwa
 
Kuingia leba sijawahi kuwazia hata, najua nitaweza ila haya mengine jamani uwiii😩
 
Huyu mama house chore ndo refuge yake.
Nikwambie hatari iliyopo mbele,
Mkiolewa na kuoa mkamalizika hapo nyumbani,
GHAFLA anawaambia anahama nyumbani!
Hamtamuelewa , ila anaweza awajibu MMEKUA SASA!
nILIKUWA NASUBIRI KWA HAMU SIKU YA MDOGO WENU WA MWISHO KUONDOKA HUMU NDANI!
 
Duh! Balaa.. mnamchosha mama unless awe under 50.

Kama hufanyi kitu utakuwa unajua kazi zinavyofanyika?
Bado yuko in her middle 40s, ni vile tu kazi yangu inanikeeep busy sana, Lakini hata nikipata nafasi ya kushinda nyumbani hiwa hapendi nimsaidie ananiambia nipumzike
 
Huenda ni kweli unayoyasema aiseeπŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
Mimi watoto wangu mpk baba yao wanajua mimi sipendi kufanya kazi za ndani.
Na am glad ninaweza kuafford kulipa watu wa kunifanyia.
Mi sitaki ushujaa wa kuwa Mama Bora kwa kuwa nawafulia watu nguo na kuwadeki vyoo.
Weeeeh, hapana hapana!
 
Ni vile kazi yangu inanikeep busy sana, lakini ninapopata nafasi mama hua hapendi kusaidiwa
Hapana usiseme hapendi kusaidiwa. Wewe jiongeze na usimuombe kumsaidia. Mfano unawahi kuamka kabla yake anaamka anakuta umrfanya usafi angalau labda.

Yeye anakuta unamalizia usafi anajisemea ngoja sasa niandae tu breakfast akiwa anaandaa breakfast wewe ushachukua nguo upo unafua.

Sio mpaka umuombe. Na sidhani kama atakasirika wewe ukifanya hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…