Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Hapa nna mimvi mwenzio wajukuu wapo njianiMpaka sasa naogopa kuzeeka
Ata uleje lazima upukutike tu, watazame wenye miaka 85+, mwili unarudi utotoniHawana lishe hao
Kama MagufuliNdiyo maana ikasemwa, Finali uzeeni. Hata hivyo uzee ni baraka.
Kuna watu wanaishi miaka japo michache lakini wanafanya mambo ya maana yatakayodumu hata baada yao, halafu kuna wale wanaoishi na kuishi tena, ila sasa historia yao inafutika kama maandishi membamba kwenye vumbi na tufani.
Sio wote huzeeka hivyoNimewatazama wazee wangu pamoja na marafiki zangu ambao ni wazee, nimegundua miili yao haiongezeki zaidi ya kupukutika; ile minofu iliyokuwa inaficha mifupa inapotea.
Sasa najiuliza swali kwa hawa wazee wangu, kwa nini umri unavyozidi kusogea ndio miili yao inarudi utotoni/ inakuwa midogo?
Wanajitahidi kula vizuri, lakini bado nyama zinapukutika na mifupa kuonekana.
Kama uzee ndio unakuja na changamoto hizi, nini maana ya maisha sasa?
Mpaka sasa naogopa kuzeeka
Ata ukiacha kumbukumbu haisaidii kitu, kwa sababu hakuna nafasi yoyote ya kurudi tena duniani.Ndiyo maana ikasemwa, Finali uzeeni. Hata hivyo uzee ni baraka.
Kuna watu wanaishi miaka japo michache lakini wanafanya mambo ya maana yatakayodumu hata baada yao, halafu kuna wale wanaoishi na kuishi tena, ila sasa historia yao inafutika kama maandishi membamba kwenye vumbi na tufani.
Yale makoti hayakai tena vizuri mwiliniUtazoea tu.
Unakumbuka ulivyoanza kuota mavuzi? Si uliogopa? Lakini ulizoea.
Ndo maisha, ukiwaza mbele lazima uogope...
Inategemea na huyo mke sasa, kama hajakutenda huko ujananiBado kuanza kupoteza kumbukumbu,
Mpaka watoto utasahau, mtu pekee ambaye mzee hamsahau ni mke/mume..
Kama utani vile, ila ndio ukweli.
Hata mimi siukubali uzee, japo pia kukata moto saivi sitaki. I want to die walau nikiwa 85 hivi, I know by then I'll have gone through heaven and hell.
Jiandae mwili kupukutikaHapa nna mimvi mwenzio wajukuu wapo njiani
Kuna mzee mmoja mstaafu huko nje, katimiza miaka 100 hivi karibuni amekuwa mdogo sanaSio wote huzeeka hivyo
Kuishi miaka mingi tunapenda, ila uzee ni changamoto piaEnzi za uhai wake Michael Jackson nae alikuwa na hofu dhidi ya uzee
Aka 85 we umekuwa lobe,75 inatoshaAta uleje lazima upukutike tu, watazame wenye miaka 85+, mwili unarudi utotoni