Naogopa kuzeeka

Naogopa kuzeeka

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Nimewatazama wazee wangu pamoja na marafiki zangu ambao ni wazee, nimegundua miili yao haiongezeki zaidi ya kupukutika; ile minofu iliyokuwa inaficha mifupa inapotea.

Sasa najiuliza swali kwa hawa wazee wangu, kwa nini umri unavyozidi kusogea ndio miili yao inarudi utotoni/ inakuwa midogo?

Wanajitahidi kula vizuri, lakini bado nyama zinapukutika na mifupa kuonekana.

Kama uzee ndio unakuja na changamoto hizi, nini maana ya maisha sasa?

Mpaka sasa naogopa kuzeeka​
 
Ndiyo maana ikasemwa, Finali uzeeni. Hata hivyo uzee ni baraka.

Kuna watu wanaishi miaka japo michache lakini wanafanya mambo ya maana yatakayodumu hata baada yao, halafu kuna wale wanaoishi na kuishi tena, ila sasa historia yao inafutika kama maandishi membamba kwenye vumbi na tufani.
 
Kama Magufuli
 
Sio wote huzeeka hivyo
 
Ndiyo maana ikasemwa, Finali uzeeni. Hata hivyo uzee ni baraka.

Kuna watu wanaishi miaka japo michache lakini wanafanya mambo ya maana yatakayodumu hata baada yao, halafu kuna wale wanaoishi na kuishi tena, ila sasa historia yao inafutika kama maandishi membamba kwenye vumbi na tufani.
Ata ukiacha kumbukumbu haisaidii kitu, kwa sababu hakuna nafasi yoyote ya kurudi tena duniani.
 
Hata mimi siukubali uzee, japo pia kukata moto saivi sitaki. I want to die walau nikiwa 85 hivi, I know by then I'll have gone through heaven and hell.
Ukiona mazishi ya wahindi wanavyowachoma wapendwa wao, unajua haya maisha ni ya kupita tuishi kistaarabu, hakuna haja ya kukanyagana na kuumizana.​
 
Back
Top Bottom