Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
-
- #21
Mwili wa umri wa miaka 75+ ni tofauti na mwili wa miaka <40Wazee tupo mbona tuna minofu ya kutosha hadi kufanya mazoezi walau ipungue
Ndio maana wale wenzetu, wakatengeneza kifaa maalumu cha kujiua bila kupata maumivu, lengo ni kuukwepa uzee.Mi
Aka 85 we umekuwa lobe,75 inatosha
Kwa hiyo wewe hudhani kuna sababu ya kuwaachia wengine urithi mwema? Namaanisha uko hapa duniani kwa ajili yako pekee na wala si mtu mwingine asilani?Ata ukiacha kumbukumbu haisaidii kitu, kwa sababu hakuna nafasi yoyote ya kurudi tena duniani.
Na kufikia umri mkubwa ni mtihani piaSi ndo mpaka uzeeke sasa
Hii ni mada pana sana, tukiijadili kiundani utagundua kuna vitu tulimezeshwa kiimani tusadiki vitu visivyoweza kuthibitikaThese words: ^If man denies the existence of God, he's just one step closer to denying his own existence,^ sound pertinent.
Nakubali. Dhana sahihi kuhusu uwepo wa Mungu ndiyo njia pekee ya kumhakikishia mwanadamu umaana wa maisha yaliyopo na yajayo.Hii ni mada pana sana, tukiijadili kiundani utagundua kuna vitu tulimezeshwa kiimani tusadiki vitu visivyoweza kuthibitika
Na lengo kubwa la kuaminishwa uwepo wake, kupitia kwa wakoloni waliokuja kututawala, lengo lilikuwa ni kutujengea hofu ili tuweze kutawalika.Nakubali. Dhana sahihi kuhusu uwepo wa Mungu ndiyo njia pekee ya kumhakikishia mwanadamu umaana wa maisha yaliyopo na yajayo.
😂 ila uzee unatisha sanaUtazoea tu.
Unakumbuka ulivyoanza kuota mavuzi? Si uliogopa? Lakini ulizoea.
Ndo maisha, ukiwaza mbele lazima uogope...
Unasema ukoloni ndio ulileta dini? Mbona hata kumbukumbu za historia hujui - kwamba kati ya dini na ukoloni, kipi kilitangulia.Na lengo kubwa la kuaminishwa uwepo wake, kupitia kwa wakoloni waliokuja kututawala, lengo lilikuwa ni kutujengea hofu ili tuweze kutawalika.
Achana na zile dini za kuabudu magome ya miti; waarabu walileta dini ipi, na wazungu walileta dini ipi?Unasema ukoloni ndio ulileta dini? Mbona hata kumbukumbu za historia hujui - kwamba kati ya dini na ukoloni, kipi kilitangulia.
Unaiaibisha JF buana.
Naona unanisaidia kuuliza swali sasa. Rejea maelezo yako mwenyewe. Au hujisomi? Unapozungumzia dini na ukoloni, hakikisha umeweka sawa kumbukumbu zako.Achana na zile dini za kuabudu magome ya miti; waarabu walileta dini ipi, na wazungu walileta dini ipi?
Kilichokuwa kinafanyika ni matambiko na si diniNaona unanisaidia kuuliza swali sasa. Rejea maelezo yako mwenyewe. Au hujisomi? Unapozungumzia dini na ukoloni, hakikisha umeweka sawa kumbukumbu zako.
Mtu anaweza kuwaita bodaboda maafisa usafirishaji, na bado wenye busara tukamwelewa vilivyo. Ni dhahiri shahiri huelewi maana ya dini.Kilichokuwa kinafanyika ni matambiko na si dini
Huko mbali Mimi miaka 70 tu Mungu achukue roho yake sitaki mateso ya uzeeHata mimi siukubali uzee, japo pia kukata moto saivi sitaki. I want to die walau nikiwa 85 hivi, I know by then I'll have gone through heaven and hell.
Oxford Dictionary inafanyaje hapa?Mtu anaweza kuwaita bodaboda maafisa usafirishaji, na bado wenye busara tukamwelewa vilivyo. Ni dhahiri shahiri huelewi maana ya dini.
Oxford Dictionary:
1. the belief in and worship of a superhuman controlling power, especially a personal God or gods.
2. a particular system of faith and worship.
3. a pursuit or interest followed with great devotion; a particular interest or influence that is very important in your life: ^For him, football is an absolute religion.^
Mimi nimeishafika hapo 70 - lakini wala sitamani kifo kinitokee hivi karibuni!Huko mbali Mimi miaka 70 tu Mungu achukue roho yake sitaki mateso ya uzee
Hakuna kitu kinashtusha kama wakati unanyoa vuzi ukaona mvi.Utazoea tu.
Unakumbuka ulivyoanza kuota mavuzi? Si uliogopa? Lakini ulizoea.
Ndo maisha, ukiwaza mbele lazima uogope...
Mkuu zile zilikuwa/ni dini sawa kabisa na hizi za kuletwa.Kilichokuwa kinafanyika ni matambiko na si dini
Na wewe sijui unalipwa kuandika sredi njaa?