Naogopa kuzeeka

Naogopa kuzeeka

Ata ukiacha kumbukumbu haisaidii kitu, kwa sababu hakuna nafasi yoyote ya kurudi tena duniani.
Kwa hiyo wewe hudhani kuna sababu ya kuwaachia wengine urithi mwema? Namaanisha uko hapa duniani kwa ajili yako pekee na wala si mtu mwingine asilani?

Kwa hoja yako hiyo, hata maisha yako yenyewe hayana maana. Hebu fikiria wale waliokurithisha mali na uhai ulio nao endapo pia wangewaza kama wewe, hivi unadhani ungekuwepo? Au kwako wewe uwepo usiwepo haileti tofauti?

These words: ^If man denies the existence of God, he's just one step closer to denying his own existence,^ sound pertinent.
 
Hii ni mada pana sana, tukiijadili kiundani utagundua kuna vitu tulimezeshwa kiimani tusadiki vitu visivyoweza kuthibitika
 
Nakubali. Dhana sahihi kuhusu uwepo wa Mungu ndiyo njia pekee ya kumhakikishia mwanadamu umaana wa maisha yaliyopo na yajayo.
Na lengo kubwa la kuaminishwa uwepo wake, kupitia kwa wakoloni waliokuja kututawala, lengo lilikuwa ni kutujengea hofu ili tuweze kutawalika.
 
Unasema ukoloni ndio ulileta dini? Mbona hata kumbukumbu za historia hujui - kwamba kati ya dini na ukoloni, kipi kilitangulia.

Unaiaibisha JF buana.
 
Achana na zile dini za kuabudu magome ya miti; waarabu walileta dini ipi, na wazungu walileta dini ipi?
 
Naona unanisaidia kuuliza swali sasa. Rejea maelezo yako mwenyewe. Au hujisomi? Unapozungumzia dini na ukoloni, hakikisha umeweka sawa kumbukumbu zako.
 
Kilichokuwa kinafanyika ni matambiko na si dini
 
Mtu anaweza kuwaita bodaboda maafisa usafirishaji, na bado wenye busara tukamwelewa vilivyo. Ni dhahiri shahiri huelewi maana ya dini.

Oxford Dictionary:
1. the belief in and worship of a superhuman controlling power, especially a personal God or gods.

2. a particular system of faith and worship.

3. a pursuit or interest followed with great devotion; a particular interest or influence that is very important in your life: ^For him, football is an absolute religion.^
 
Hata mimi siukubali uzee, japo pia kukata moto saivi sitaki. I want to die walau nikiwa 85 hivi, I know by then I'll have gone through heaven and hell.
Huko mbali Mimi miaka 70 tu Mungu achukue roho yake sitaki mateso ya uzee
 
Mtu anaweza kuwaita bodaboda maafisa usafirishaji, na bado wenye busara tukamwelewa vilivyo. Ni dhahiri shahiri huelewi maana ya dini.

Oxford Dictionary:
1. the belief in and worship of a superhuman controlling power, especially a personal God or gods.

2. a particular system of faith and worship.

3. a pursuit or interest followed with great devotion; a particular interest or influence that is very important in your life: ^For him, football is an absolute religion.^
Oxford Dictionary inafanyaje hapa?
 
Kilichokuwa kinafanyika ni matambiko na si dini
Mkuu zile zilikuwa/ni dini sawa kabisa na hizi za kuletwa.

Hata sisi tusiofuata dini za kimila (mimi ni mkristu) tunatambika altareni.

Tuheshimu dini zote (na za kimila pia) hata kama tunafungamana na dini za kuletwa.
 
Na wewe sijui unalipwa kuandika sredi njaa?
pp.jpg
 
Back
Top Bottom