Naogopa kuzeeka

Mkuu zile zilikuwa/ni dini sawa kabisa na hizi za kuletwa.

Hata sisi tusiofuata dini za kimila (mimi ni mkristu) tunatambika altareni.

Tuheshimu dini zote (naz akimila pia) hata kama tunafungamana na dini za kuletwa.
Hizi dini za kigeni hazipatani na dini za kimila
 
Hizi dini za kigeni hazipatani na dini za kimila
Mara nyingi ndivyo. Lakini muumini unatakiwa unayoambiwa uchanganye na ya kwako.

Waislamu, Wakristo, wa dini za kimila, wabudha/wahinduu, wasio na dini nk - wote tunakiwa kuheshimiana na kuishi kwa amani. Wote tunahitaji kupendana, kutokuibiana, na kadhalika.
 
Kama yuko vizuri basi huwa na kajitambu mtepeto, akiwa bongebonge zile nyama zinaanza kushuka chini na kuzidi kumtesa ni bora akapungua.

Wazee wengi wenye mwili mdogo hawasumbuliwi sana na magonjwa ya uzee na viungo kama wale vibonge.

Ila uzee jau sometimes ila kufa nako ni kisanga.
 
Kumbe tuko wengi😭😭😭😭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…