King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Zingatia maokoto...Mcheck kikwete bado yupo ngangari.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi dini za kigeni hazipatani na dini za kimilaMkuu zile zilikuwa/ni dini sawa kabisa na hizi za kuletwa.
Hata sisi tusiofuata dini za kimila (mimi ni mkristu) tunatambika altareni.
Tuheshimu dini zote (naz akimila pia) hata kama tunafungamana na dini za kuletwa.
Kibaiolojia, umri unavyozidi kusogea mwili unabadilikaZingatia maokoto...Mcheck kikwete bado yupo ngangari.
Mara nyingi ndivyo. Lakini muumini unatakiwa unayoambiwa uchanganye na ya kwako.Hizi dini za kigeni hazipatani na dini za kimila
Hata mke/mume anaweza kumsahau. Kuna bibi anamwita mumewe kaka!Bado kuanza kupoteza kumbukumbu,
Mpaka watoto utasahau, mtu pekee ambaye mzee hamsahau ni mke/mume..
Kama utani vile, ila ndio ukweli.
60+Hivi mzee ni kuanzia umri gani?
Kumbe tuko wengi😭😭😭😭Nimewatazama wazee wangu pamoja na marafiki zangu ambao ni wazee, nimegundua miili yao haiongezeki zaidi ya kupukutika; ile minofu iliyokuwa inaficha mifupa inapotea.
Sasa najiuliza swali kwa hawa wazee wangu, kwa nini umri unavyozidi kusogea ndio miili yao inarudi utotoni/ inakuwa midogo?
Wanajitahidi kula vizuri, lakini bado nyama zinapukutika na mifupa kuonekana.
Kama uzee ndio unakuja na changamoto hizi, nini maana ya maisha sasa?
Mpaka sasa naogopa kuzeeka