Toa ufafanuzi hapaMfumo uliopo unaibeba YANGA Simba sio mbovu ila inahujumiwa
Ungeeleza kwa mapana ueleweke. Ni mfumo gani unaibeba Yanga na kuihujumu Simba?Mfumo uliopo unaibeba YANGA Simba sio mbovu ila inahujumiwa
Yanga wanajipanga kimataifa ,they use collective leadership,(uongozi jumuishi)Kwa mwenendo huu naona club ya Yanga ikitawala league ya ndani kwa miaka mingi ijayo.
Sioni mipango mikubwa kutoka club ya Simba, Azam. Naona Mambo yale Yale yakiendelea.
Hofu yangu ni kwamba itakuwa kama ligi za south Africa, misri, Algeria, ambazo zinatawaliwa na club moja.
Ligi zinakuwa hazina Ushindani. Club moja kutawala ligi inapunguza radha ya mpira.
Yanga wanaonekana huko mbeleni watakosa mpinzani wa maana labda mashindano ya kimataifa.
Simba/Azam wajitahidi kuleta ushandani. Waache ujanjaujanja Wajifunze kutoka kwa Yanga la sivyo watapotea kwenye ramani ya mpira.
Wachezaji wanopambania timu viongozi wanashangilia timu ikifungwa na Simba ama yangaKwa mwenendo huu naona club ya Yanga ikitawala league ya ndani kwa miaka mingi ijayo.
Sioni mipango mikubwa kutoka club ya Simba, Azam. Naona Mambo yale Yale yakiendelea.
Hofu yangu ni kwamba itakuwa kama ligi za south Africa, misri, Algeria, ambazo zinatawaliwa na club moja.
Ligi zinakuwa hazina Ushindani. Club moja kutawala ligi inapunguza radha ya mpira.
Yanga wanaonekana huko mbeleni watakosa mpinzani wa maana labda mashindano ya kimataifa.
Simba/Azam wajitahidi kuleta ushandani. Waache ujanjaujanja Wajifunze kutoka kwa Yanga la sivyo watapotea kwenye ramani ya mpira.
Bado miaka 7 mingine ili itimie miaka 10 ya kuchukua ubingwa mfululizo. Na kazi yenu kubwa itakuwa ni hii pekee ya kutafuta sababu na visingizio.Mfumo uliopo unaibeba YANGA Simba sio mbovu ila inahujumiwa
Mkuu Mpira unachezwa hadharani, hiyo imani yako potofu ndo itafanya simba ikose nafasi ya pili na kuangukia kucheza shirikisho mwakani. Simba ni mbovu sote tunaona ikicheza hovyo , hata Prison walijipigia, kagera na kmc wakapata droo, Mechi nyingi simba imebebwa sana hadi aibu mf Singida big stars, Coastal union, Tabora United etc. Hakuna hujuma ni timu imeshuka kiwango.Mfumo uliopo unaibeba YANGA Simba sio mbovu ila inahujumiwa
Hilo kombe Simba alichukua mara nne mfululizo sasa iweje nyie mara tatu tu mnapiga kelele?Mkuu Mpira unachezwa hadharani, hiyo imani yako potofu ndo itafanya simba ikose nafasi ya pili na kuangukia kucheza shirikisho mwakani. Simba ni mbovu sote tunaona ikicheza hovyo , hata Prison walijipigia, kagera na kmc wakapata droo, Mechi nyingi simba imebebwa sana hadi aibu mf Singida big stars, Coastal union, Tabora United etc. Hakuna hujuma ni timu imeshuka kiwango.
Pamoja na pitch kuwa mbovu ina manundu , mipira haitulii chini na pitch inatakiwa kupigwa greda na kupandwa nyasi upya Sheikh Amri Abeid Arusha sijui meneja wa uwanja kwanini analipwa mshahara ila Yanga imeifunga Ihefu leo kibishi Arusha, kinachoibeba Yanga ni vita ya namba, morali ya wachezaji, kocha bora, mashabiki wenye kelele wanaojaza uwanja hadi watoto, Rais bora wa timu , msemaji kijana Simba my wetu mwenye hamasa na Yanga kuzoea kushinda maana ukiwafunga Yanga msako wake sio wa nchi hii. Hata waje Madrid wanakaa!
Nendeni msimbazi makolo mkalaumiane na kujipanga upya. Kila kolo anatafuta pa kuangushia jumba bovu!!!wewe umechagua hujuma, wengine mangungo, wengine Mo, wengine Fred, wengine Saidoo, wengine Zimbwe, wengine inonga!!! Wengine Kajulo ila Zimwi la kufeli lipo pale pale na bado mpaka mseme!!
Kombe la NBC ni mali binafsi ya Yanga kwa miaka kumi ijayo, je kuna kolo anabisha?
Umeongea ukweli..ongezea na ligi na Ufaransa(utawala wa PSG) kwa kule Ulaya.Kwa mwenendo huu naona club ya Yanga ikitawala league ya ndani kwa miaka mingi ijayo.