ward41
JF-Expert Member
- Apr 3, 2022
- 749
- 2,533
Kwa mwenendo huu naona club ya Yanga ikitawala league ya ndani kwa miaka mingi ijayo.
Sioni mipango mikubwa kutoka club ya Simba, Azam. Naona Mambo yale Yale yakiendelea.
Hofu yangu ni kwamba itakuwa kama ligi za south Africa, misri, Algeria, ambazo zinatawaliwa na club moja.
Ligi zinakuwa hazina Ushindani. Club moja kutawala ligi inapunguza radha ya mpira.
Yanga wanaonekana huko mbeleni watakosa mpinzani wa maana labda mashindano ya kimataifa.
Simba/Azam wajitahidi kuleta ushandani. Waache ujanjaujanja Wajifunze kutoka kwa Yanga la sivyo watapotea kwenye ramani ya mpira.