Naogopa mimi. Inawezekana watu wanashindana na Mungu pasipo kujua. Risasi 16 na hakufa duh

Naogopa mimi. Inawezekana watu wanashindana na Mungu pasipo kujua. Risasi 16 na hakufa duh

Kama siku yako bado hata ukikanywagwa na Tembo haufi. Ila siku yako ikifika maji kidogo tu yanakupalia unakufa.
 
Risasi 16 si mchezo hivi kuna mtu hapa duniani aliyepona mvua ya shaba kama hiyo?
Yupo Kuna dogo mmoja nae alipigwa risas nying mno ad zingine zikashindwa kutolewa sababu ya usalama w afya yake,yule dogo jina lake likafa akaitwa tundu lisu ad lie ndio jina lake maarufu kumpata
 
Haya ni maajabu! Mtu mmoja anaihenyesha serikali nzima mahakamani, serikali ni dude kubwa lenye dola, lina maguvu ya kila aina, inatisha kwa kweli
 
Back
Top Bottom