Naomba ABC nataka Mdogo wangu asome Diploma ya udaktari ana division 1.15

Naomba ABC nataka Mdogo wangu asome Diploma ya udaktari ana division 1.15

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
Nataka Mdogo wangu akasome hapo Muhas Kuanzia certificate naomba kufahamu utaratibu mzima yupna division 1.15
 
Muhas ni kwa walio pata A zote...

Nafasi ni chache watu ni wengi hivyo utaratibu ni huo A zote akakutane na wenye A wenzake na wata chujwa na kubakishwa wachache kama 40 au 20

Hawana eneo kubwa hivyo hawa chukui watu kama wana enda disko kucheza mziki

Kama hana aina hiyo ya ufaulu basi aombe akiwa anasali kila siku huku akiomba na vyuo vingine Kwa kuwa uwezekano wa kupata ni mdogo kwa ufaulu wake
 
Nataka Mdogo wangu akasome hapo Muhas Kuanzia certificate naomba kufahamu utaratibu mzima yupna division 1.15
Ngoja nimpe ushauri mzuri mdogo wetu...

1.kama Ana nia na woto wa kuwa daktari,basi asome clinical officer na kama una uwezo wa kifedha mpeleke private:machame, decca dodoma, city college ili lengo akajizolee gpa kubwa aunge MD.....

2.Kama yupo teyar kusoma kozi yoyote ya afya namshauri akasome hizi: diploma ya optometry ipo kcmc,diploma ya radiology ipo bugando nadhan na muhas pia.

3.Kama home mna uwezo wa kifedha na kumsapoti dogo mwanzo mwisho,akasome pharmacy diploma tena vyuo vya private ili akajizolee gpa kisha aunge barchelor kisha akimaliza mumpe mtaji afungue yake...

All the best
 
Nimesahau akisoma pia dental diploma ipo njema sana..
 
Back
Top Bottom