Naomba Ajira/ kazi ya aina yoyote

Naomba Ajira/ kazi ya aina yoyote

Joined
Sep 24, 2015
Posts
5
Reaction score
3
Wakuu habari za Leo.

Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30, ni kijana wa kiume , ninapatakana Dar es salaam.

Naomba kazi, kibarua cha aina yoyote cha mkataba, cha day Yani kazi yoyote Ile, kwa malipo yoyote Yale ya halali natanguliza shukurani wakuu.
 
Mbona Bado unachagua Kazi mkuu,maelezo yako yanaonesha unataka Kazi inayoendana na hiyo diploma yako na sio Kazi yoyote
 
Mbona Bado unachagua Kazi mkuu,maelezo yako yanaonesha unataka Kazi inayoendana na hiyo diploma yako na sio Kazi yoyote
Kaka wala sichagui kama unaweza nisaidie labda apo juu ni makosa ya kiuandishi tu
 
Back
Top Bottom