Naomba aliyemwelewa Waziri Dkt. Mwakyembe juu ya hili anisaidie kunielewesha tafadhali

Status
Not open for further replies.
Ni kweli kabisa kuwa huwezi kumuelewa lakini ni vema ukaelewa yafuatayo;

1 Mh. Waziri alikuwa pale kikazi.

2. Anauguliwa na mkewe

3. ICU hairuhusiwi mtu kulala na mgonjwa.

4. Ni mtu wa watu na hivyo matatizo yake pia ni ya wote.
 
Maneno gani yaliyorukwa? Nawe usiwe taburarasa kama huyo ndugu yako. Umeshindwa kujua logic ya uzi unahimiza kurukwa kwa maneno.... think bigger
 
Maneno gani yaliyorukwa? Nawe usiwe taburarasa kama huyo ndugu yako. Umeshindwa kujua logic ya uzi unahimiza kurukwa kwa maneno.... think bigger

Usipoteze muda na huyo ' hopeless ' tafadhali Mkuu. Ameshadharaulika humu JF ' Kitambo ' sana.
 
Reactions: Pep
Msiwe na wasiwasi, lazima aserebuke kwasababu mkewe ana life insurance
 

In a positive note. ... pengine kashinda huko kutwa, na ikafika jioni akaambiwa amuache mgonjwa apumzike au aangaliwe, then kupunguza mawazo kenda kupata burudani, hemu tuwe positive kidogo ndugu zangu ....
 
Mungu amnusuru imagine mkewe angefariki muda huo halafu watoto wanapata taarifa kuwa baba anaserebuka au mke anapata fahamu anauluza wapi yupo mpenzi anaambiwa anaserebuka na Miss Karoli si ataumwa tena!
 
Aisee ukiifikiria ICU kama ulishawahi kuingia au kufanya kazi ,,, na ukiangalia alichokisema mzee wetu "mwakyembe" majibu yanakua vigumu kupatikana…!

au mimi nafikiri kwa sababu ni mke wa waziri labda aliomba bed rest pale ICU kwa uangalizi wa karibu ila hali yake haikuwa mbaya kihivo,, lakini kama alipelekwa ICU kwa kuzingatia criteria za mgonjwa kuwa admitted ICU ,, basi anaetakiwa kuombewa hapa ni mwakyembe coz haelewi anachokifanya…!!
 
Reactions: Pep
Kwa kuwa moyo wako tayari una mtazamo hasi dhidi ya alichokifanya Waziri Mwakyembe, naanini hata ukisaidiwa kwa kueleweshwa haitakuwa msaada kwako.

Kwa lugha nyingine ni kwamba katika wasilisho lako tayari umeshamhukumu.

Pengine ushauri na msaada wangu kwako ni kwamba, si kila ulionavyo jambo fulani wewe na kulichukulia kwa uzito na umuhimu ndivyo alionavyo mwenzako na kulichukulia kwa unuhimu huo huo. Hata kama angekaa palepale wodini bado isingesaidia kurudisha uhai wa mkewe.

Binafsi naunga mkono kwa alichofanya kwa sababu pengine ilisaidia kumpunguzia mawazo kwa kujichangany na watu, Na kwa kuwa unayemzungumzia kwa sasa ni marehemu, itoshe tu kuufunga huu mjadala kwani mapenzi ya mungu yametimizwa. Pole Mhe. Mwakyembe kwa kumpoteza ubavu wako. Mungu akupe nguvu ktk kipindi hiki kigumu kwako. Amen.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Labda alitaka kuliwaza akili yake. Mtoa mada muhusika atakua na jibu kamili@mwpkembe

Post sent using JamiiForums mobile app
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] umenivunja mbavu Genta

Karibu sana PEP na usiache kuifatilia JamiiForums 24/7 ili uweze kuendelea ' kuvunjika ' mbavu zako na GENTAMYCINE.
 
Reactions: Pep
Mama mwakyembe amesha RIP

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…