chingwanji.
Member
- Apr 22, 2015
- 12
- 13
Mungu anakuona lakini πHiyo kozi ni ya kufutwa kabisa
With digital solutionsβ¦. Procurement haihitaji wasanii tena
Unaweza kusoma theory, practices, marketing principles na sheria ya manunuzi ya ndani na nje ya nchi kwa siku Saba Kama Kishimba alivuopendekeza?Manunuzi unasomea miaka kibao.
Hizo ndizo kozi ambazo mbunge kishimba alisema zifutwe ni kozi za kuibia ada watoto.
Unaweza kusoma theory, practices, marketing principles na sheria ya manunuzi ya ndani na nje ya nchi kwa siku Saba Kama Kishimba alivuopendekeza?
HahaaaaaaMungu anakuona lakini π
Swali sio nani awezi kununua?Nani hawezi kununua.
Mahitaji ya wataalamu wa manunuzi ni madogo sana.
Taasisi kubwa yenye wafanyakazi zaidi elfu kumi kama jeshi la polisi.. unakuta manunuzi yanafanywa na timu ya watu watano tu.
Hapo nafasi za waliosomea manunuzi lazima ziwe chache
Swali sio nani awezi kununua??
Jibu ni je? Yakifanyika manunuzi holela nani wa kujibia???
Manunuzi holela kwa nani ?
Ushawai sikia kampuni kubwa mfano vodacom ama tigo wanatafuta graduate wa procurement ?
Fani zingine wanaajiri kila mwaka.. ila procurement huwezi kuta wanaajiri aaji
Kumbe hujuwi tofauti ya public procurement na private procurement πππππManunuzi holela kwa nani ?
Ushawai sikia kampuni kubwa mfano vodacom ama tigo wanatafuta graduate wa procurement ?
Fani zingine wanaajiri kila mwaka.. ila procurement huwezi kuta wanaajiri ajiri
Kumbe hujuwi tofauti ya public procurement na private procurement πππππ
Public procurement ndio nini.. niambie ni sheria ya manunuzi gani imetumika kununua Dreamliner - ndege za Air Tanzania ?
Ama afisa manunuzi gani wamepitisha tenda ya bwawa la Stieglers gorge?
Hata huko serikalini procurement haina umuhimu nowd
Yani ndugu kujifanya unajuwa sana kumbe hamna kitu sheria kupindishwa ni kukosa uadilifu kwa viongozi ila haimaanishi procu haina maana serikalini..Why juzi tu wameanzisha mfumo mpya wa manunuzi wa NeST....Public procurement ndio nini.. niambie ni sheria ya manunuzi gani imetumika kununua Dreamliner - ndege za Air Tanzania ?
Ama afisa manunuzi gani wamepitisha tenda ya bwawa la Stieglers gorge?
Hata huko serikalini procurement haina umuhimu nowdays.
Hii kitu uliandika kwa kukurupuka mzee sio kila kitu unajuwa ...23 august Tigo wametoka kutangaza nafasi ya Procurement (SCM)Manunuzi holela kwa nani ?
Ushawai sikia kampuni kubwa mfano vodacom ama tigo wanatafuta graduate wa procurement ?
Fani zingine wanaajiri kila mwaka.. ila procurement huwezi kuta wanaajiri ajiri
Hii kitu uliandika kwa kukurupuka mzee sio kila kitu unajuwa ...23 august Tigo wametoka kutangaza nafasi ya Procurement (SCM)
Mda mwingine mfanyage na reseach sio kukurupuka tu kama hujuwi waache wajibu wanaojuwa.....
Habari wakuu...Mimi nimhitimu wa Diploma NTA level 5 katika chuo cha TIA Mbeya kada ya manunuzi na ugavi..Kama ilivyo siku hivi kazi zimekuwa adimu sana,Kazi pekee zinazopatikana na zinatanganzwa mara kwa mara ni za AFISA UTENDAJI MADARAJA TOFAUTI..Moja ya kigezo cha kuitwa kwenye usaili Ni kuwa na NTA LEVEL 5 katika kada kama ..Uhasibu .Sheria..HR..BA..Nk
Naomba anaejuwa kwanini Procurement imetengwa ..Hata tukiomba hatuitwi kwenye usaili....Please anaejuwa πππnafa
Haijatengwa sema tu nafasi zinazo toka ni chache, but nakushauri urudi chuo ukamalizie NTA LEVEL 6Habari wakuu...Mimi nimhitimu wa Diploma NTA level 5 katika chuo cha TIA Mbeya kada ya manunuzi na ugavi..Kama ilivyo siku hivi kazi zimekuwa adimu sana,Kazi pekee zinazopatikana na zinatanganzwa mara kwa mara ni za AFISA UTENDAJI MADARAJA TOFAUTI..Moja ya kigezo cha kuitwa kwenye usaili Ni kuwa na NTA LEVEL 5 katika kada kama ..Uhasibu .Sheria..HR..BA..Nk
Naomba anaejuwa kwanini Procurement imetengwa ..Hata tukiomba hatuitwi kwenye usaili....Please anaejuwa πππ
ππππ Kuna sehemu nimesema sina kazi?? Sema sijaingia serikalini haimaanishi sina kazi dah Akili mu kishwa hamna kitu....Iyo NTA level 5 tunaangalia chance za utendaji tu ili tupate cheque number so kila anae omba ushauri na kuuliza humu unazani Kachoka hana kazi....ACHA AKILI NDOGO IYOπ€£π€£π€£Acha kuhamisha mada kwa ujanja wa strawman fallacy
Kasome tena post ya hoja za kuhusu vodacom.
Kisha ndio ujibu.
Ndio maana hupati kazi sababu haupo makini na attention to details