Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aseee Kuna mlolongo mkubwa sanaPata leseni ya ukusanyaji mazao ya misitu
.chagua mkoa wakununulia mbao sehemu ambapo mbao zinazalishwa kwa wingi mfano iringa, mafinga, njombe,kagera.
Pata watu wakukusanyia mzigo na kulundika eneo ambalo gari inafika kwa urahisi bila shida
.Fahamu ushuru wa halmashauri huska maana ushuru utafautiana kati ya halmashauri na halmashauri ila ushuru kwa ubao mmoja una range shilingi 300 adi 400 kwa ubao.
.kata kibali cha kusafrisha mbao cha TFS ambatanisha na leseni yako ya kukusanyaji mazao ya mistu pamoja na lisiti ya ushuru wa halmashauri ulipo chukulia mbao. Kabla ya kukata kibali cha kusafirisha mbao hakikisha umepata gari la kubeba mbao zako maana namba ya gari itaitajika kwenye kuandika kibali.
Nipo mkuu
M nakufundisha jinsi ya kupiga wateja na nilichowashtukia wauzaji WA buguruniHABARI WANA JAMII FORUM
Naomba maelekezo juu ya biashara ya mbao
1,upatikanaji
2,usafirishaji
3,jinsi ya UENDESHAJI wa biashara
4, mtaji wa chini kiasi gani
5,namna ya kutafuta soko
Mzee hii code nilelekeze vizuri umeiweka ki ndava ZaidiM nakufundisha jinsi ya kupiga wateja na nilichowashtukia wauzaji WA buguruni
Ukiona unapokelewa pale unaingizwa OFISIN mkuu noma wakati WA kutoka ukisikia TUNAANZIA chini
Chini n nn
Ile mtr inakatwa vipande inaunganishwa
Ukisoma mwisho tu UJUE umeumia narudia umeumia
1-15
Ipo1-7
Inakatwa
Inafungwa na 11nk
HAPO Wana mtr tatu kila mmbaoo
Biashara Moja nzuri ila ukijifunxa na kuibianwatu kama hivi
IKo hivi mkuuMzee hii code nilelekeze vizuri umeiweka ki ndava Zaidi
Aseee 🤣 🤣 🙌 atari sana kaka kumbe unaweza kufuta machozi sema kila biashara ukiingia kiboya unapigwaIKo hivi mkuu
Ile MITA yako si inasoma futi/mitaa
Moja mpaka mwisho
Unaponunua unalipankutokana na kile ulichopima
Wanachofanya wanakata vipande eg
MITA 1-20
Ikifika kwenye 8
Wanakata wanaunga na kuanzia 11
Kwahiyo kwenye 1-11
We unalipanmita 11
Uhalisia 9/10 hazipooooo
N NGUMU kushtuka mpaka uwe umepigwa ama ushtuliwe kama hivi
Soln nenda na Mita yako uikae siku ukakubali kupima urefu WA mbao kwa MITA zao n kilio
Kwa mfano ndio naingia njombe kichukua mzigo uko napo upigaji upoIKo hivi mkuu
Ile MITA yako si inasoma futi/mitaa
Moja mpaka mwisho
Unaponunua unalipankutokana na kile ulichopima
Wanachofanya wanakata vipande eg
MITA 1-20
Ikifika kwenye 8
Wanakata wanaunga na kuanzia 11
Kwahiyo kwenye 1-11
We unalipanmita 11
Uhalisia 9/10 hazipooooo
N NGUMU kushtuka mpaka uwe umepigwa ama ushtuliwe kama hivi
Soln nenda na Mita yako uikae siku ukakubali kupima urefu WA mbao kwa MITA zao n kilio
Kuna broo aliuza mzigo akiwa Njombe usiku unaingia kawekewa pistol kichwani anaambiwa toa pesa Leo umeuza mzigo asee broo karudi home hajui afanye niniIKo hivi mkuu
Ile MITA yako si inasoma futi/mitaa
Moja mpaka mwisho
Unaponunua unalipankutokana na kile ulichopima
Wanachofanya wanakata vipande eg
MITA 1-20
Ikifika kwenye 8
Wanakata wanaunga na kuanzia 11
Kwahiyo kwenye 1-11
We unalipanmita 11
Uhalisia 9/10 hazipooooo
N NGUMU kushtuka mpaka uwe umepigwa ama ushtuliwe kama hivi
Soln nenda na Mita yako uikae siku ukakubali kupima urefu WA mbao kwa MITA zao n kilio
Sijawahi elewaga haw jamaa wanapatwje faidila maana huwa siionagi faida katika calculationLazima uwe mshirikina,mengine nenda pale buguruni ufundishwe
Vipi makadirio ya gharama na masoko ya kulengaPata leseni ya ukusanyaji mazao ya misitu
.chagua mkoa wakununulia mbao sehemu ambapo mbao zinazalishwa kwa wingi mfano iringa, mafinga, njombe,kagera.
Pata watu wakukusanyia mzigo na kulundika eneo ambalo gari inafika kwa urahisi bila shida
.Fahamu ushuru wa halmashauri huska maana ushuru utafautiana kati ya halmashauri na halmashauri ila ushuru kwa ubao mmoja una range shilingi 300 adi 400 kwa ubao.
.kata kibali cha kusafrisha mbao cha TFS ambatanisha na leseni yako ya kukusanyaji mazao ya mistu pamoja na lisiti ya ushuru wa halmashauri ulipo chukulia mbao. Kabla ya kukata kibali cha kusafirisha mbao hakikisha umepata gari la kubeba mbao zako maana namba ya gari itaitajika kwenye kuandika kibali.
Yaaan n biashara nzuri na mbaya sana huwa wanauxanaKuna broo aliuza mzigo akiwa Njombe usiku unaingia kawekewa pistol kichwani anaambiwa toa pesa Leo umeuza mzigo asee broo karudi home hajui afanye nini