Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ya Petrol,ya diesel 1HD FTE aandae 100milionBe forward Japan la mwaka 2002 ni million 36 kasoro mpaka RORO pale bandari ya Dar es salaamView attachment 3079090
TRA kwa makadirio watachukua chao kama milioni 23View attachment 3079092
TPA ambao kwa Sasa ni DP World utawapa chao kama 500,000/= clearing and forwarding agent utampa hata 200,000/= ongezea 300,000/= utawapa shipping agent
Total - 60M
🤣🤣Mtoa mada baada ya kuona mkeka wa 60M amesepa, alidhani ni M 15 kama probox
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtoa mada baada ya kuona mkeka wa 60M amesepa, alidhani ni M 15 kama probox
Kuagiza nnje