Naomba chimbo la kuangalia Arsenal tarehe 30

Naomba chimbo la kuangalia Arsenal tarehe 30

MR CHAGGA

Member
Joined
Sep 27, 2016
Posts
68
Reaction score
84
Wakuu baada ya kuona wenzetu wa Kenya Uganda Ethiopia na kwingineko Duniani wakifurahia ubingwa WA timu pendwa ya Arsenal na hapa Dar nilipanga niende viwanja vya posta lakin baada ya kuona wameingiza siasa na kuweka mgeni rasmi siwezi kwenda tena kama kuna chimbo jingine naomba nielekezwe nikutane na mashabiki wenzangu wa Arsenal sio wagemi rasmi

Asanteni
 

Attachments

  • IMG_20260528_231546.jpg
    IMG_20260528_231546.jpg
    315.9 KB · Views: 18
Kweli hawachelewi kusema ni juhudi za mama katika michezo arsenal kufika fainali.
 
Huyu Madee huyu muda mrefu naangalia movement zake na Miwani nyeusi.
Huyu sio huyu.
 
Back
Top Bottom