Una bei gani?Naomba link hapa na mimi nisikilize
Jo wacha uhuniUna bei gani?
Mimi nimeona Clip ya Mbowe, Zitto, Mzee wa Ubwawa na wengineo ila hao viongozi wa CCM uliowataja kwa kweli sijaona clip zao sijui sasa hawakurahishwa na maamuzi hayo? au ni nini?Sikuwa kwenye eneo la mtandao ila hadi sasa sijaona Clip ya Mzee Kinana Makamu Mwenyekiti wa CCM, Daniel Chongolo, Katibu Mkuu wa CCM wala Shaka Hamdu Shaka Mwenezi wa CCM wakimpongeza Rais Samia kwa uamuzi wa kutangaza ruhusa ya mikutano ya hadhara.
Kama ndugu zangu kuna yeyote mwenye nayo naomba mnitumie hapa ili nisikilize viongozi wakuu wa CCM na wao wanasemaje kuhusiana na uamuzi huo wa Rais Samia?
Lucas mwashambwa naamini utakuwa nayo naomba niwekee hapa.
Hao ndio waliofanikisha mchakato huo,hao ni miongoni waliotoa baraka kwa niaba ya chama chetu,hao ndio tangia awali walimpongeza mh Rais kutaka kujenga umoja wa kitaifa, mshikamano na masikilizano kwa kuwakutanisha na viongozi wa vyama vingine kufanya mazungumzo kwa lengo la kupata muafaka na maridhiano ya kitaifaSikuwa kwenye eneo la mtandao ila hadi sasa sijaona Clip ya Mzee Kinana Makamu Mwenyekiti wa CCM, Daniel Chongolo, Katibu Mkuu wa CCM wala Shaka Hamdu Shaka Mwenezi wa CCM wakimpongeza Rais Samia kwa uamuzi wa kutangaza ruhusa ya mikutano ya hadhara.
Kama ndugu zangu kuna yeyote mwenye nayo naomba mnitumie hapa ili nisikilize viongozi wakuu wa CCM na wao wanasemaje kuhusiana na uamuzi huo wa Rais Samia?
Lucas mwashambwa naamini utakuwa nayo naomba niwekee hapa.
Hata sura zao zinaonyesha hawakufurahishwa kwani huu mwendo kama unaenda kuwaletea madhara siku za usoni.Mimi nimeona Clip ya Mbowe, Zitto, Mzee wa Ubwawa na wengineo ila hao viongozi wa CCM uliowataja kwa kweli sijaona clip zao sijui sasa hawakurahishwa na maamuzi hayo? au ni nini?
[emoji38][emoji38][emoji38] usicheze na kuporwa ugali wewe , inauma sana !Sikuwa kwenye eneo la mtandao ila hadi sasa sijaona Clip ya Mzee Kinana Makamu Mwenyekiti wa CCM, Daniel Chongolo, Katibu Mkuu wa CCM wala Shaka Hamdu Shaka Mwenezi wa CCM wakimpongeza Rais Samia kwa uamuzi wa kutangaza ruhusa ya mikutano ya hadhara.
Kama ndugu zangu kuna yeyote mwenye nayo naomba mnitumie hapa ili nisikilize viongozi wakuu wa CCM na wao wanasemaje kuhusiana na uamuzi huo wa Rais Samia?
Lucas mwashambwa naamini utakuwa nayo naomba niwekee hapa.
Akili matope hizi. Yaani waliokuwa wakitumwa na mama kwenda kufanya mazungumzo kwa miezi nane na wakafanya hivyo unataka watoe pongezi wakati wameshiriki mwanzo mwisho!!!?hadi sasa sijaona Clip ya Mzee Kinana Makamu Mwenyekiti wa CCM, Daniel Chongolo, Katibu Mkuu
Lucas kama ni hicho unachosema mbona hapa walitoka na kuunga mkono? CCM YAUNGA MKONO MARIDHIANO YA KISIASAHao ndio waliofanikisha mchakato huo,hao ni miongoni waliotoa baraka kwa niaba ya chama chetu,hao ndio tangia awali walimpongeza mh Rais kutaka kujenga umoja wa kitaifa, mshikamano na masikilizano kwa kuwakutanisha na viongozi wa vyama vingine kufanya mazungumzo kwa lengo la kupata muafaka na maridhiano ya kitaifa
Mkuu wangu Sasa unafikiri walikuwa wanaunga mkononmaridhiano ambayo walikuwa hawajuwi Nini wanachohitaji kufanyika ili kuleta umoja na mshikamano wa watanzaniaLucas kama ni hicho unachosema mbona hapa walitoka na kuunga mkono? CCM YAUNGA MKONO MARIDHIANO YA KISIASA
Mbona siku zote Rais akisema leo kesho Chama kimeshatoka kumpongeza kwanini leo ichukue masaa 24 sio Makamu Mwenyekiti, Sio Katibu Mkuu na wala sio Mwenezi?Tamko la Rais lilikuwa Jana, subiria leo na kesho utaona matamko mtawalia kuhusu kumpongeza kutoka Korido zote za UVCCM na CCM kwa Ujumla
Si ulisikia Jana kuwa Mama naye ana Chawa zake 😂
Kama ipo nakutumia elf 50Sikuwa kwenye eneo la mtandao ila hadi sasa sijaona Clip ya Mzee Kinana Makamu Mwenyekiti wa CCM, Daniel Chongolo, Katibu Mkuu wa CCM wala Shaka Hamdu Shaka Mwenezi wa CCM wakimpongeza Rais Samia kwa uamuzi wa kutangaza ruhusa ya mikutano ya hadhara.
Kama ndugu zangu kuna yeyote mwenye nayo naomba mnitumie hapa ili nisikilize viongozi wakuu wa CCM na wao wanasemaje kuhusiana na uamuzi huo wa Rais Samia?
Lucas mwashambwa naamini utakuwa nayo naomba niwekee hapa.
Du. Lucas mwashambwa changamkia bingo hiyoKama ipo nakutumia elf 50