Naomba code za kufanya namba isipatikane hata ukiwa umewasha simu


Hiyo option inatapatikana wapi mkuu? Toa darasa la wazi
 

Kwa IPhone ni kweli, kwa hizo nyingine sijui.
 
Iphone 6+

Mkuu nenda SETTING kisha fungua hapo halafu shuka chini moja kwa moja hadi utakapoikuta App ya WHATSAPP

View attachment 767557
View attachment 767561

Ipo kwa chini[emoji1369]hio whatsapp kwasababu App zinaenda kwa Alphapet
Hapo hapo Ifungue hio Whatsap

View attachment 767556TTACH]


[emoji1369]hapo itafunguka hivyo[emoji1369]na ikishafunguka shuka chini kwenye MOBILE DATA kisha iweke OFF
Ikiwa OFF mkuu hutopatkana kwenye whatsapp hadi utakapo iweka ONN kwa muda wako mwenyewe utakapo hitaji kuitumia whatsapp
 
Hata kwenye techno ipo hiyo, sema huku tuna-freeze app inakua offline mpk uitoe freeze.
 
nia na madhumuni, unaweza kuweka codes na wote wasikupate mpaka watu muhimu...binafsi zipo siku maalum huwa napatikana kwa sms tu, na pia zipo siku huwa namba yangu ukipiga inapokelewa na huduma kwa wateja kama Dstv, Tigo na hata Tanesko
[emoji1] [emoji3] [emoji3] [emoji3] kwenyeee kupokelewa hapooo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hicho anachosema stickvibration cha kuzima data kwa app fulan kipo hata kwa adroid asitudanganye! Nenda settings>>Applications>>{ hapa tafuta app husika kisha}>>Data
 
Msaada nikipigiwa cm kwa no yangu 0676549460 naambiwa no imefungiwa msaada nifanyaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…