Clear Data unafuta vitu vilioji save ktk hio DATA utakayo clear.
Force to Stop si kanakwamba inafuta tu bali hio hio App itafanya kuCorrupt kwasababu unaiazimisha kuisimamisha hali ya kuwa ina Run
Mkuu jaribu kuforce to stop [emoji113] au ku disabble App ya PLAYSTORE
hapo ndio utajua maana yake
Yaani hio simu utaitupia kabatini tu ama utaenda kuiflash ili faili zake zoote zitakazo corrupt zijipange upya.
Sasa kwa Iphone haina option hio ya kuilazimisha App
Option iliopo ni,,,kwa mfano naenda setting kisha naitafuta App ya whatsapp na click hapo ikifunga nashuka chini kabisa kuna sehem imeandikwa Mobile data hapo hapo naweka mobile data off
Hio sehem inakuwa umezima data kwa ajili ya whatsapp tu App zingine kama vile JF,IMO na zinginezo zinafanya kazi kama kawaida
Lkn kwa samsung ama simu zingine ukizima data inamaanisha ni simu nzima haitakuwa na mawasiliano yoyote ya App zenye kutumia internet data