slimn
Senior Member
- Mar 13, 2018
- 131
- 183
sory ndugu nmetumia iyo njia lkn kwenye kutoa calls tu znaingia text zmegoma kuingia msaada plseSoooon, nitakutumia ya kuweka na kutolea.
*21*0027# kuweka
##21# kutoa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sory ndugu nmetumia iyo njia lkn kwenye kutoa calls tu znaingia text zmegoma kuingia msaada plseSoooon, nitakutumia ya kuweka na kutolea.
*21*0027# kuweka
##21# kutoa
Kwa ambae hutaki akupate sio?kwa voda *21*0754125125# hapa itakua hupatikani japo simu ipo on,lkn utapata sms kwa aliye kutafta
kutoa ##002#
Ha ha ha haMaaamae vyuma vishaumana muda wowote cheche zitatoka!
*21*0023# unafanyaje mkuu?hii ni call barring hata sms hupokei wala kutuma..nimeijaribu
nadhani *21*0023# ni nzuri...maana unaweza tuma na kupokea text
bofya *35*0000#Naomba msada jinsi ya kufunga all calls zinazoingia kwenye voda mtu akipiga nisipatikane Ila kwangu niwe online kama kawaida please anaejua natumia itel smart phone.nimejaribu kuingia setting sijaona
Na kufungua je?bofya *35*0000#
kuondoa je????*21*0754125125#
hiyo hapo