Naomba code za kufanya namba isipatikane hata ukiwa umewasha simu

Naomba code za kufanya namba isipatikane hata ukiwa umewasha simu

Soooon, nitakutumia ya kuweka na kutolea.

*21*0027# kuweka

##21# kutoa
sory ndugu nmetumia iyo njia lkn kwenye kutoa calls tu znaingia text zmegoma kuingia msaada plse
 
Huu uzi umesababisha nimefunga simu yangu bila kujua tangu juzi nikipiga simu hazitoki naombeni msaada wakuu.

Nikipiga simu naandikiwa ACM limit exceeded alafu inakata.
 
je kama hutaki kupatikana katika namba ambazo hazikp katika phone book yako
 
Naomba msada jinsi ya kufunga all calls zinazoingia kwenye voda mtu akipiga nisipatikane Ila kwangu niwe online kama kawaida please anaejua natumia itel smart phone.nimejaribu kuingia setting sijaona
 
Naomba msada jinsi ya kufunga all calls zinazoingia kwenye voda mtu akipiga nisipatikane Ila kwangu niwe online kama kawaida please anaejua natumia itel smart phone.nimejaribu kuingia setting sijaona
bofya *35*0000#
 
Back
Top Bottom