Naomba code za kufanya namba isipatikane hata ukiwa umewasha simu

Naomba code za kufanya namba isipatikane hata ukiwa umewasha simu

Kuna ile njia nyinginr amvayo unaingilia kwenye setting kidha unaweka namba yako na kuiongexa digits. Let say namb yako inaishia 7. Bas wewe unaongeza namba nyingine kwenye hiyo saba. Hapo ukisevu then mtu akipiga anaambiwa "namba unayopiga haipo, tafadhari andika kwa usahihi"😂😂
 
Kuna ile njia nyinginr amvayo unaingilia kwenye setting kidha unaweka namba yako na kuiongexa digits. Let say namb yako inaishia 7. Bas wewe unaongeza namba nyingine kwenye hiyo saba. Hapo ukisevu then mtu akipiga anaambiwa "namba unayopiga haipo, tafadhari andika kwa usahihi"[emoji23][emoji23]
tupe iyo mkuu
 
Njia ya kwanza
Nenda kwenye call setting
Kisha chagua barring/Barr call
Itakuletea option ya kubar chagua incoming calls
Kisha activate... Baadhi ya mitandao itahitaji password... Commonly used ni 0000, 1234, 000,123, 211,2121

Njia ya pili
Ingia call setting
Chagua divert option
Chagua all incoming calls
Kisha itakuomba no ya kudirvet
Utaandika namba halisi lakini huandiki yote
Yaani kwa mfano 0687 19202.. Namba moja ya mwisho huandiki kisha activate

Njia ya tatu ipo lakini siwezi kuiweka wazi hapa[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
Naomba hiyo ya tatu please Mshana Jr [emoji120][emoji120][emoji120]
 
Wadau naomba anayejua zile code za kuactivate namba isipatikane hewani hata kama umewasha simu...
Kuna uzi niliwahi uona humu miaka ya nyuma nimeshimdwa kuupata...

Si uachane na simu.
Una nunua Gari afu unaulizia mbinu ya kulifanya lisitembee barabarani
 
Wakuu simu yangu mimi ni TEKNO K7 ina wiki sasa kila mtu akinipigia anaambiwa niko busy wakati siko busy na wala sioni call yake... Shida nn na nafanyaje?
 
Wakuu simu yangu mimi ni TEKNO K7 ina wiki sasa kila mtu akinipigia anaambiwa niko busy wakati siko busy na wala sioni call yake... Shida nn na nafanyaje?
TAZAMA kwenye setting,
1.call setting
1.call bear
(Sikumbuki vzr)
 
Wakuu simu yangu mimi ni TEKNO K7 ina wiki sasa kila mtu akinipigia anaambiwa niko busy wakati siko busy na wala sioni call yake... Shida nn na nafanyaje?
Piga #21## kwenye laini zote.... Utapatikana na tatizo litakwisha...
 
nia na madhumuni, unaweza kuweka codes na wote wasikupate mpaka watu muhimu...binafsi zipo siku maalum huwa napatikana kwa sms tu, na pia zipo siku huwa namba yangu ukipiga inapokelewa na huduma kwa wateja kama Dstv, Tigo na hata Tanesko
Naiomba hiyo code
 
Back
Top Bottom