Naomba code za kufanya namba isipatikane hata ukiwa umewasha simu

nia na madhumuni, unaweza kuweka codes na wote wasikupate mpaka watu muhimu...binafsi zipo siku maalum huwa napatikana kwa sms tu, na pia zipo siku huwa namba yangu ukipiga inapokelewa na huduma kwa wateja kama Dstv, Tigo na hata Tanesko
Acha uongo
 
[emoji1][emoji1][emoji1] jamaani simcard yangu ya Tigo mpaka leo haijawah kufunguka
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mimi nilifunga kama miezi mitatu nilikuwa napokea tu na kutuma text ila nimefanikiwa kuifungua
 
Baada ya kuangalia jamaa uliye mtag #35*0000# imenisaidia kuifungua. Aisee hii mitandao inasaidia [emoji23]
Huku kujaribu jaribu bhnπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Anaejua code za ttcl nisipatikane hewani ila text zije anisaidie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…