Naomba code za kufanya namba isipatikane hata ukiwa umewasha simu

Naomba code za kufanya namba isipatikane hata ukiwa umewasha simu

Wadau naomba anayejua zile code za kuactivate namba isipatikane hewani hata kama umewasha simu...
Kuna uzi niliwahi uona humu miaka ya nyuma nimeshimdwa kuupata...

Dawa ya Deni ni Kulipa. Kawalipe Kwanza wote wanaokudai Pesa zao kisha Mimi nitakupa hizo Code na utafurahia maisha.
 
nia na madhumuni, unaweza kuweka codes na wote wasikupate mpaka watu muhimu...binafsi zipo siku maalum huwa napatikana kwa sms tu, na pia zipo siku huwa namba yangu ukipiga inapokelewa na huduma kwa wateja kama Dstv, Tigo na hata Tanesko
Mbinu yako ni kama yangu...sasa mimimi huwa hata DSTV sipatikani...halafu watu wasiojulikana nawachora kwa mbaliii jinsi wanavyohangaika.
 
Hiyo FLIGHT MODE hata ukiwa katika Daladala zetu hizi za Mbagala kwenda Mbande inakubali pia au mpaka uwe hewani tu na Ndege / Mbung'o?
Bosi hapo amekuelewa...asipoelewa basi huyo ni popoma wa kiwango cha flyover...pia safari yangu kesho una taarifa nayo?
 
nia na madhumuni, unaweza kuweka codes na wote wasikupate mpaka watu muhimu...binafsi zipo siku maalum huwa napatikana kwa sms tu, na pia zipo siku huwa namba yangu ukipiga inapokelewa na huduma kwa wateja kama Dstv, Tigo na hata Tanesko
Duu hiyo kali [emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom