Lukaku Tanzania
JF-Expert Member
- Sep 7, 2017
- 843
- 740
Hahahahaaaa dunia Ina mambo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama inawezekana mpe ww hizo code za "kuruhusu baadhi ya no"Sema ww ndo hujui, usiseme haiwezekani.
Mtandao gani voda au tigoSoooon, nitakutumia ya kuweka na kutolea.
*21*0027# kuweka
##21# kutoa
[emoji23][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji23]Kutokana na huu uzi nimepoteza uwezo wa kupokea sms (sms haziingii) . Msaada jamani.
manyi udoba Chiwaso na wengine.
Kuna wakati nilihitaji kutumia simu kwa ajili ya intaneti, lakini unajua kuna simu ukiwa umefanya tethering simu ikiingia intaneti inakata, I had to block voice calls.Shida yote hiyo ya nini sasa...?!
Data unaweza kutumiaVipi, ukishajiunga na data nayo naweza kutumia?
Kuna program natumia namba ngeni ikipiga simu inakata then inatuma SMS kumwambia atume ujumbe mfupi. Nimeisahau jina kwasababu ukiingiza haionekani among the appsHivi kuna app ambayo namba ngeni yoyote ikikupigia namba yako inakua haipatkani ?
Hahaha..pole sana. Unatumia mtandao ganiKutokana na huu uzi nimepoteza uwezo wa kupokea sms (sms haziingii) . Msaada jamani.
manyi udoba Chiwaso na wengine.
Set cm yako, network preference to 4g only. No one can find you , but can text you.Wadau naomba anayejua zile code za kuactivate namba isipatikane hewani hata kama umewasha simu...
Kuna uzi niliwahi uona humu miaka ya nyuma nimeshimdwa kuupata...
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Acha michepuko!
Nimfanikiwa mkuuHahaha..pole sana. Unatumia mtandao gani
Great umetumia hii #35*0000#?Nimfanikiwa mkuu