Naomba code za kufanya namba isipatikane hata ukiwa umewasha simu

Naomba code za kufanya namba isipatikane hata ukiwa umewasha simu

Shida yote hiyo ya nini sasa...?!
Kuna wakati nilihitaji kutumia simu kwa ajili ya intaneti, lakini unajua kuna simu ukiwa umefanya tethering simu ikiingia intaneti inakata, I had to block voice calls.
 
Wadau naomba anayejua zile code za kuactivate namba isipatikane hewani hata kama umewasha simu...
Kuna uzi niliwahi uona humu miaka ya nyuma nimeshimdwa kuupata...
Set cm yako, network preference to 4g only. No one can find you , but can text you.
 
Back
Top Bottom