Naomba connection au ushauri wa mchongo wa kufanya baada ya saa za kazi

Ningekupa wazo zuri sana kijana upo mkoa gani?
 
kama una mtaji hata wa 200K tafuta kibanda jioni uza hapo vinywaji hasa visungura mkuu utakuja kunishukuru, vile vibanda unaweza kuviona vya kawaida ila kuanzia saa moja hadi saa tano unaweza kupata faida si chini ya 15k unahakikisha tu vinywaji vyote vikali vipo plus energy mna maji uwatafute na wale watu wa dubwi wakuwekee hapo watu wacheze kamali.

nb hiyo mishe nipe na mimi connection basi nipo bench napiga udalali haulipi
 
Shukran mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…