Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 10,644
- 32,375
Anitumia jina gan Mitandaoni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Why why why....🥺🥺🥺ushindwe we mtoto mdogo mxiuuu
Mjinga wew 😂😂Why why why....🥺🥺🥺
Nikija pata nitakupelekesha wewe ngoja waiseme hapa
😂😂😂
Dawa ni wewe mwenyeweWadau habarin kuna mwanamke nimempata kupitia mtandao ishu ni je ataniacha au maana bado hatujabond vyema wala kuonana ana kwa ana nipeni dawa nimvute asije pokonyoka
Mii unaniita mtoto...Mjinga wew 😂😂
watoto wote wanasoma kama weweMii unaniita mtoto...
Wee umenionea wapi alaaah 😂😂😂
Nimeacha kusoma bana..watoto wote wanasoma kama wewe
NakaziaUzi ufugwe.
basi achana na dawa ya mapenz tafuta ya utajiriNimeacha kusoma bana..
Nishamaliza 😂😂😂😂
Nina sup kama zote nime pex semistar ili tuyapange vzr
Utajiri ninao...basi achana na dawa ya mapenz tafuta ya utajiri
njoo nkupe dawa upate hata mams wa chuo hio n gundu sasaUtajiri ninao...
Mi nahangaikia mapenzi tuu kwa sasa 😂😂😂
Unipe et...njoo nkupe dawa upate hata mams wa chuo hio n gundu sasa
lazima nkupe mdogo angu huwezi tesekaUnipe et...
Kama utanipa sawa mi nakuja chap kwaah 😂😂😂😂
Kwani lazima kuweka neno mdogo ako....lazima nkupe mdogo angu huwezi teseka
basi kaka angu ufurahi weweKwani lazima kuweka neno mdogo ako....
😬😬😬😬 Unakera sasa khaa
Ahahaha sitaki undugu na wewe mimibasi kaka angu ufurahi wewe
unajua kuna kitu umenifunza eeeh ngoj kikurudie nawew😂😂endelea kiherehere ivo ivoAhahaha sitaki undugu na wewe mimi