Naomba details za biashara ya SILAHA anayofanya marekani

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
25,030
Reaction score
61,298
Inasemekana marekani aliingiza pesa nyingi sana kutokana na mauzo ya SILAHA katika vita kuu ya dunia kuwauzia wa ulaya.Je ni kweli SILAHA ndo Zilizoipa mafanikio marekani na takwimu kwa sasa zipoje yaani mauzo ya SILAHA duniani na viwanda alivyonavyo na je vinamilikiwa na jeshi au hata wawekezaji binafsi.Na je ni kweli bila kupiganisha watu vitani marekani atashuka kiuchumi?
 
Kweli uko serious kula yako shida upewe details za silaha wala sio mauzo ya parachichi kijjn mwako dah
 
Kila unachotaka kujua juu ya hilo kinapatikana mtandaoni. Vitu vingine uwe unatafuta mwenyewe, hapa unaweza kudanganywa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…