Naomba elimu juu ya haya

Naomba elimu juu ya haya

mtzmweusi

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
8,658
Reaction score
8,994
Wakuu kwema?kuna vitu sijafahamu ni nini naomba kujua vina kazi gani kuna hii kitu inaitwa etc sijaelewa ni nn na pia kuna hii kitu sijaelewa kazi yake nimeambatanisha picha
IMG_20190908_140604.jpeg
IMG_20190908_140624.jpeg
 
Wakuu kwema?kuna vitu sijafahamu ni nini naomba kujua vina kazi gani kuna hii kitu inaitwa etc sijaelewa ni nn na pia kuna hii kitu sijaelewa kazi yake nimeambatanisha picha View attachment 1201590View attachment 1201591
Picha ya pili hicho kama kigia pembeni ya usukani ni TILT.....kazi yake ni kushusha usukani chini mpaka ukaribie mapaja au kuupandisha juu...
Hicho kigiq unakishusha chini kwa nguvu kidogo utaona usukani umelegea unacheza cheza kwenda juu na chini...hapo utafanya adjustment uitakayo kisha utakipandisha juu ili usukani ukaze
 
Kwa kumuongezea...

ETC... Electronic Throttle Control... Hu-control accelerator a gari...

Cc: mahondaw
 
ETC hutumika pale ambapo unataka kupata mzunguko mkubwa wa engine ndani ya sekunde chache ili kukuwezesha ku overtake, kuingia barabarani au kuwahi traffic light. Kuna kitufe chake ukibinya inawaka na ukishamaliza unabinya kurudi revs kawaida. Pia unawezatumia ku drive smoothly hasa nyakati za asubuhi baridi kama unaishi maeneo yenye baridi sana maana geabox huwa zinachelewa kuchanganya
 
Mkuu hapa umemaliza kila kitu
ETC hutumika pale ambapo unataka kupata mzunguko mkubwa wa engine ndani ya sekunde chache ili kukuwezesha ku overtake, kuingia barabarani au kuwahi traffic light. Kuna kitufe chake ukibinya inawaka na ukishamaliza unabinya kurudi revs kawaida. Pia unawezatumia ku drive smoothly hasa nyakati za asubuhi baridi kama unaishi maeneo yenye baridi sana maana geabox huwa zinachelewa kuchanganya
 
Wakuu kwema?kuna vitu sijafahamu ni nini naomba kujua vina kazi gani kuna hii kitu inaitwa etc sijaelewa ni nn na pia kuna hii kitu sijaelewa kazi yake nimeambatanisha picha View attachment 1201590View attachment 1201591
Hiyo ETC inayotumika ku control acceleration ni mpya kwangu.
Etc nayoijua mimi inasehemu ya kuweka kadi na huwa inatumika kucharge card automatically kwenye sehemu yenyewe vizuizi kama daraja la kigamboni.
Hicho cheusi ni kispeaker chake mara nyingi utagundua ukiwasha gari baada ya dakika kadhaa utakuta kinasema maneno ya kijapan ("" .... missing ").
 
Back
Top Bottom