Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Picha ya pili hicho kama kigia pembeni ya usukani ni TILT.....kazi yake ni kushusha usukani chini mpaka ukaribie mapaja au kuupandisha juu...Wakuu kwema?kuna vitu sijafahamu ni nini naomba kujua vina kazi gani kuna hii kitu inaitwa etc sijaelewa ni nn na pia kuna hii kitu sijaelewa kazi yake nimeambatanisha picha View attachment 1201590View attachment 1201591
Picha ya pili hicho kama kigia pembeni ya usukani ni TILT.....kazi yake ni kushusha usukani chini mpaka ukaribie mapaja au kuupandisha juu...
Hicho kigiq unakishusha chini kwa nguvu kidogo utaona usukani umelegea unacheza cheza kwenda juu na chini...hapo utafanya adjustment uitakayo kisha utakipandisha juu ili usukani ukaze
ETC hutumika pale ambapo unataka kupata mzunguko mkubwa wa engine ndani ya sekunde chache ili kukuwezesha ku overtake, kuingia barabarani au kuwahi traffic light. Kuna kitufe chake ukibinya inawaka na ukishamaliza unabinya kurudi revs kawaida. Pia unawezatumia ku drive smoothly hasa nyakati za asubuhi baridi kama unaishi maeneo yenye baridi sana maana geabox huwa zinachelewa kuchanganya
Wakuu kwema?kuna vitu sijafahamu ni nini naomba kujua vina kazi gani kuna hii kitu inaitwa etc sijaelewa ni nn na pia kuna hii kitu sijaelewa kazi yake nimeambatanisha picha View attachment 1201590View attachment 1201591
Hiyo ETC inayotumika ku control acceleration ni mpya kwangu.Wakuu kwema?kuna vitu sijafahamu ni nini naomba kujua vina kazi gani kuna hii kitu inaitwa etc sijaelewa ni nn na pia kuna hii kitu sijaelewa kazi yake nimeambatanisha picha View attachment 1201590View attachment 1201591