Naomba fursa ya kujitolea Shuleni, nimemaliza Biology na Geography Chuo

VIN RICHARD

Member
Joined
Aug 4, 2026
Posts
5
Reaction score
6
Wakubwa shikamoo, samahani kwa usumbufu.

Nimemaliza mwaka wa tatu Chuo Kikuu cha Mkwawa – Iringa, nikisomea Biology na Geography, pamoja na kozi fupi ya Lugha ya Alama (kwa viziwi).

Kwa kweli kwa sasa ninapitia kipindi kigumu sana cha kutafuta mahali pa kuanza maisha baada ya masomo yangu.
Kwa unyenyekevu mkubwa naomba msaada wa kupata shule ya kujitolea katika mkoa wowote (serikali au private).
Niko tayari kwenda popote nitakapopata nafasi.
Msaada wenu kwangu utakuwa mwanzo wa kutimiza ndoto zangu na kujenga maisha yangu ya baadaye.

Namba yangu ya simu: 0613911641.

Ahsanteni sana. Mungu awabariki.
 
Ingia mtaani saka hela elimu imekufanya ujue kusoma na kuandika na kupiga hesabu unaporudisha change
 
Write short notes on Glaciation erosion features
 
Sikukatishi tamaa lakini walowahi kujitolea wanajua adhaa yake.

Sio gov,ment wala private, kote hakufai siku hz.

Walimu wa kujitolea waliheshimika sana enzi zile, ila siku hizi wanadharauliwa sana, hakuna huduma za maana kama marazi na chakula au usafili utapata.

Halafu usitegemee posho rafiki na ukijishaua eti naondoka, hakuna ataejali coz mpo wengi saaana mnaotaka hyo chansi.

Kuna watu walijitolea gov eti walidanganywa zikitoka ajira mpya wao ndo watapewa kipaumbelee!! Hawakuajiliwa!!!

Unajitoleaje kufanya kazi isiyo na malipo? Hadi lini?

Uamuzi ni wako
 
Wakubwa shikamoo, samahani kwa usumbufu.

Nimemaliza mwaka wa tatu Chuo Kikuu cha Mkwawa – Iringa, nikisomea Biology na Geography, pamoja na kozi fupi ya Lugha ya Alama (kwa viziwi).

Kwa kweli kwa sasa ninapitia kipindi kigumu sana cha kutafuta mahali pa kuanza maisha baada ya masomo yangu.
Kwa unyenyekevu mkubwa naomba msaada wa kupata shule ya kujitolea katika mkoa wowote (serikali au private).
Niko tayari kwenda popote nitakapopata nafasi.
Msaada wenu kwangu utakuwa mwanzo wa kutimiza ndoto zangu na kujenga maisha yangu ya baadaye.

Namba yangu ya simu: 0613911641.

Ahsanteni sana. Mungu awabariki.
Anzia hapo iringa shule za private hata serikali!
 
1-Tembea utafute shule ambayo wana nafasi za kufundisha masomo yako.Halafu utaomba/utaandika barua kwenda halmashauri husika(lakini ipitie kwa mkuu wa shule hiyo ili atoe maoni/uhitaji wake)ukiomba Hapo ni kwa shule za serikali.
2-Usikae bure.Nenda shule binafsi utafute uhitaji wao kulingana na utaalamu wako.Changamka.
 
Jaribu kutembelea shuleni, ongea na wanafunzi kama wanahitaji masomo ya ziada baada ya kutoka shule au mwisho wa wiki, upate elfu moja moja au mbili mbili usogeze maisha.
 
Wakubwa shikamoo, samahani kwa usumbufu.

Nimemaliza mwaka wa tatu Chuo Kikuu cha Mkwawa – Iringa, nikisomea Biology na Geography, pamoja na kozi fupi ya Lugha ya Alama (kwa viziwi).

Kwa kweli kwa sasa ninapitia kipindi kigumu sana cha kutafuta mahali pa kuanza maisha baada ya masomo yangu.
Kwa unyenyekevu mkubwa naomba msaada wa kupata shule ya kujitolea katika mkoa wowote (serikali au private).
Niko tayari kwenda popote nitakapopata nafasi.
Msaada wenu kwangu utakuwa mwanzo wa kutimiza ndoto zangu na kujenga maisha yangu ya baadaye.

Namba yangu ya simu: 0613911641.

Ahsanteni sana. Mungu awabariki.
Pole sana, ila nakushauri nenda shule nzuri ya private, kajitolee. Watakulipa japo 150k, onyesha uwezo wako hapo, tengeneza chanel, piga kazi kweli kweli, siku ukipata kazi sehemu nyingine ndio siku hiyo hiyo shule hiyo hiyo watakapokupa mkataba wa ajira na utaanza kulipwa rasmi maana watakuwa wanauhakika na wewe, yaani ukiwa unajitolea saidia hadi walimu wenzako wazoefu, nakwambia hutokaa sana mtaani trust me
 
Thanks kwa ushauri mzuri
 
Write short notes on Glaciation erosion features

Oky fine, Troll JF: Glaciation is the process where moving glaciers erode and shape the land. Glacial erosion mainly happens through plucking and abrasion, which create different landforms. The main glacial erosion features include U-shaped valleys, which are wide and deep valleys formed by moving glaciers; cirques, which are bowl-shaped hollows found at the top of glacial valleys; arêtes, which are sharp ridges between two valleys; horns, which are sharp mountain peaks formed when glaciers erode from different sides; hanging valleys, which are small valleys found above the main valley; and fjords, which are deep, narrow valleys filled with seawater. In conclusion, glacial erosion changes the shape of the land and forms different features that show the effects of glaciers.
 
Oky fine, Troll JF: Glaciation is the process where moving glaciers erode and shape the land. Glacial erosion mainly happens through plucking and abrasion, which create different landforms. The main glacial erosion features include U-shaped valleys, which are wide and deep valleys formed by moving glaciers; cirques, which are bowl-shaped hollows found at the top of glacial valleys; arêtes, which are sharp ridges between two valleys; horns, which are sharp mountain peaks formed when glaciers erode from different sides; hanging valleys, which are small valleys found above the main valley; and fjords, which are deep, narrow valleys filled with seawater. In conclusion, glacial erosion changes tnhe shape of the land and forms different features that show the effects of glaciers.
Na wewe umemjibu kweli?Huyo ni mpuuzi tu anakusumbua.
 
Back
Top Bottom