VIN RICHARD
Member
- Aug 4, 2026
- 5
- 6
Aje PM tuyajenge. Kuna uhaba wa waalimu wa masomo hayo.Makamu mkuu lyamungo high school cc secretarybird
Namba yangu hii hapa napmba unisaidie ndugu 0613911641, Mungu akubarikiIngia mtaani saka hela elimu imekufanya ujue kusoma na kuandika na kupiga hesabu unaporudisha change
Aje PM tuyajenge. Kuna uhaba wa waalimu wa masomo hayo.
Nashukuru ndugu namba yangu hii hapa naomba unisaidie 0613911641 au email yangu ni hii mtavangukelvin418@gmail.comAje PM tuyajenge. Kuna uhaba wa waalimu wa masomo hayo.
Anzia hapo iringa shule za private hata serikali!Wakubwa shikamoo, samahani kwa usumbufu.
Nimemaliza mwaka wa tatu Chuo Kikuu cha Mkwawa – Iringa, nikisomea Biology na Geography, pamoja na kozi fupi ya Lugha ya Alama (kwa viziwi).
Kwa kweli kwa sasa ninapitia kipindi kigumu sana cha kutafuta mahali pa kuanza maisha baada ya masomo yangu.
Kwa unyenyekevu mkubwa naomba msaada wa kupata shule ya kujitolea katika mkoa wowote (serikali au private).
Niko tayari kwenda popote nitakapopata nafasi.
Msaada wenu kwangu utakuwa mwanzo wa kutimiza ndoto zangu na kujenga maisha yangu ya baadaye.
Namba yangu ya simu: 0613911641.
Ahsanteni sana. Mungu awabariki.
Msaidie dogo MKUU!Aje PM tuyajenge. Kuna uhaba wa waalimu wa masomo hayo.
1-Tembea utafute shule ambayo wana nafasi za kufundisha masomo yako.Halafu utaomba/utaandika barua kwenda halmashauri husika(lakini ipitie kwa mkuu wa shule hiyo ili atoe maoni/uhitaji wake)ukiomba Hapo ni kwa shule za serikali.Wakubwa shikamoo, samahani kwa usumbufu.
Nimemaliza mwaka wa tatu Chuo Kikuu cha Mkwawa – Iringa, nikisomea Biology na Geography, pamoja na kozi fupi ya Lugha ya Alama (kwa viziwi).
Kwa kweli kwa sasa ninapitia kipindi kigumu sana cha kutafuta mahali pa kuanza maisha baada ya masomo yangu.
Kwa unyenyekevu mkubwa naomba msaada wa kupata shule ya kujitolea katika mkoa wowote (serikali au private).
Niko tayari kwenda popote nitakapopata nafasi.
Msaada wenu kwangu utakuwa mwanzo wa kutimiza ndoto zangu na kujenga maisha yangu ya baadaye.
Namba yangu ya simu: 0613911641.
Ahsanteni sana. Mungu awabariki.
Pole sana, ila nakushauri nenda shule nzuri ya private, kajitolee. Watakulipa japo 150k, onyesha uwezo wako hapo, tengeneza chanel, piga kazi kweli kweli, siku ukipata kazi sehemu nyingine ndio siku hiyo hiyo shule hiyo hiyo watakapokupa mkataba wa ajira na utaanza kulipwa rasmi maana watakuwa wanauhakika na wewe, yaani ukiwa unajitolea saidia hadi walimu wenzako wazoefu, nakwambia hutokaa sana mtaani trust meWakubwa shikamoo, samahani kwa usumbufu.
Nimemaliza mwaka wa tatu Chuo Kikuu cha Mkwawa – Iringa, nikisomea Biology na Geography, pamoja na kozi fupi ya Lugha ya Alama (kwa viziwi).
Kwa kweli kwa sasa ninapitia kipindi kigumu sana cha kutafuta mahali pa kuanza maisha baada ya masomo yangu.
Kwa unyenyekevu mkubwa naomba msaada wa kupata shule ya kujitolea katika mkoa wowote (serikali au private).
Niko tayari kwenda popote nitakapopata nafasi.
Msaada wenu kwangu utakuwa mwanzo wa kutimiza ndoto zangu na kujenga maisha yangu ya baadaye.
Namba yangu ya simu: 0613911641.
Ahsanteni sana. Mungu awabariki.
Thanks kwa ushauri mzuriPole sana, ila nakushauri nenda shule nzuri ya private, kajitolee. Watakulipa japo 150k, onyesha uwezo wako hapo, tengeneza chanel, piga kazi kweli kweli, siku ukipata kazi sehemu nyingine ndio siku hiyo hiyo shule hiyo hiyo watakapokupa mkataba wa ajira na utaanza kulipwa rasmi maana watakuwa wanauhakika na wewe, yaani ukiwa unajitolea saidia hadi walimu wenzako wazoefu, nakwambia hutokaa sana mtaani trust me
Write short notes on Glaciation erosion features
Na wewe umemjibu kweli?Huyo ni mpuuzi tu anakusumbua.Oky fine, Troll JF: Glaciation is the process where moving glaciers erode and shape the land. Glacial erosion mainly happens through plucking and abrasion, which create different landforms. The main glacial erosion features include U-shaped valleys, which are wide and deep valleys formed by moving glaciers; cirques, which are bowl-shaped hollows found at the top of glacial valleys; arêtes, which are sharp ridges between two valleys; horns, which are sharp mountain peaks formed when glaciers erode from different sides; hanging valleys, which are small valleys found above the main valley; and fjords, which are deep, narrow valleys filled with seawater. In conclusion, glacial erosion changes tnhe shape of the land and forms different features that show the effects of glaciers.