Naomba hifadhi Dodoma

NGOJA TUMTAFUTE AKUTUMIE NAULI NA HELA YA GUEST, tatizo alikuwa anatumia simu ya kitochi sijui kama ana smartphone.

Ila kama unajiamini nenda kwenye ofisi ya mbunge hapo Geita onana na KATIBU WA MBUNGE atakusaidia kuongea na Mh. Msukuma.
Uchaguzi ulishaisha sasa hivi nikienda nitaambiwa sikuwa sehemu ya ilani ya Chama!!
 
NGOJA TUMTAFUTE AKUTUMIE NAULI NA HELA YA GUEST, tatizo alikuwa anatumia simu ya kitochi sijui kama ana smartphone.

Ila kama unajiamini nenda kwenye ofisi ya mbunge hapo Geita onana na KATIBU WA MBUNGE atakusaidia kuongea na Mh. Msukuma.
Mpigie Mbunge wako:+255784141000 asipopokea mtumie TEXT kisha niforwardie.HIO TEXT.All the BEST
 
Huyo hapo nadhani atakuwa msabato jina
Kama anaijua kanuni ya wasabato wala asingejianika humu
Wasabato tuna utaratibu wa kusaidiana kiroho na kimwili kwa mgeni kutoka kona yoyote ya dunia
Cha msingi, awe na barua ya utambulisho kutoka kanisa lake mahalia, awe na cheti chake cha ubatizo kinachoonesha uwajibikaji wake ktk kanisa lake mahalia, barua iwe na namba ya karani wa kanisa namba ya shemasi mkuu, na namba ya kiongozi wake wa kikundi (darasa) anachojufunzia lesoni! Aje na vielelezo vyote hivyo avifikishe kwenye kanisa lolote la ki Adventist, hapo atasaidiwa kula, kulala, na nauli ya kumrudisha kwao atapewa! MALANATHA!
 
Ila dah....inahitaji wito...documents zote hizo
 
Unaomba msaada kisha unaingiza siasa, utakosa msaada, ukipata msaada nenda makuru kuna guest house ya bei nafuu last week na mm nlikua hapo
All the best
 
Ushahidi unaoutoa kumbuka Mungu anakuona! Umesema unapoishi mmeanzisha kanisa! Kanisa la kisabato halianzishi na mtu binafsi[emoji23][emoji23][emoji23], na mchungaji wa kisabato hajipangii safari ya kikanisa[emoji28][emoji28]. Makongamano yote ya ki Adventist yanakuwa undercontrol misheni!
Kanisa lolote la kisabato linaanzishwa na kanisa kuu mahalia la mtaa! Na linaitwa tawi, na halipewi mchungaji lingali tawi bali linahudumiwa na mchungaji wa mtaa. Ambapo unaweza ukakuta mchungaji mmoja anahudumia makanisa (matawi) 4+ sasa wewe sijui unaongea nini hapa... USILITUKANISHE KANISA LA MUNGU! HASIRA YAKE HAUTAIEPUKA!
 
Umeanza kwa kujieleza vyema sana
Hata Zungu anayetaka kutuongezea kodi kwenye simu?!
Huyu kijana mwenzako akakutoa kwenye mstari na lengo lako
Dah Mamaeeeeeh
Ukaonyesha utovu mkubwa wa nidhamu na jinsi rangi yako halisi ilivyo.
Kwa mtu makini mwenye alikua na nia ya kukusaidia kwa dhati hawezi kukusaidia kwa comment hii
 
Duh nipo hapa kanisani,maisha haya...ndio ninaposali nikiwa Moro.
 
Ila dah....inahitaji wito...documents zote hizo
Ndio iko hivyo kuepuka matapeli na wezi kama hao wanaojiita wasabato kulitukanisha kanisa huku hata mlango wa kanisa hawaujui. Pia kwa muumini hai wa kanisa lolote hizo sio nyalaka ngumu. Maana kama cheti cha ubatizo unakuwa nacho mwenyewe tangu kubatizwa kwako. Hiyo barua unaenda kuchukua tu chap maana ww tayari kanisa linakutambua kupitia cheti chako cha ubatizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…