Huyo hapo nadhani atakuwa msabato jina
Kama anaijua kanuni ya wasabato wala asingejianika humu
Wasabato tuna utaratibu wa kusaidiana kiroho na kimwili kwa mgeni kutoka kona yoyote ya dunia
Cha msingi, awe na barua ya utambulisho kutoka kanisa lake mahalia, awe na cheti chake cha ubatizo kinachoonesha uwajibikaji wake ktk kanisa lake mahalia, barua iwe na namba ya karani wa kanisa namba ya shemasi mkuu, na namba ya kiongozi wake wa kikundi (darasa) anachojufunzia lesoni! Aje na vielelezo vyote hivyo avifikishe kwenye kanisa lolote la ki Adventist, hapo atasaidiwa kula, kulala, na nauli ya kumrudisha kwao atapewa! MALANATHA!