Naomba hifadhi Dodoma

Naomba hifadhi Dodoma

Yesu Anakuja!!
Unachukulia vitu simple sana kwa vile havijawahi kukutokea, mimi ku display dhehebu haimaanishi kuwa nisaidiwe na wasabatho tu no ila its my proud, ni sawa na wewe kujitambulisha mtanzania nje ya nchi
Ha ha ha. Dogo una cheti cha ubatizo? Una barua ya kutoka mahali unapoabudia? Kama huna ujipange[emoji3]
 
Kalale kanisani mdogo wangu utapata muda mzuri wa kutafakari ukuu wa Mungu.
Na pia hutabughudhiwa na mtu.
Ue na bahati njema.
 
Matapeli mnakuja na mbinu mpya kila kukicha
Kwahiyo Mimi Tapeli ndugu yangu sio!!
Hata Biblia inashauri hivi
NYAMAZA

1. Kunyamaza wakati fulani maishani mwako siyo kipawa bali ni nidhamu (Wathesalonike 4: 11).

2. Nyamaza unapohisi hasira (Mithali 14:17).

3. Nyamaza unapokuwa huna taarifa ya kutosha au ukweli kuhusu unachotaka kusema (Mithali 18:13).

4. Nyamaza unapokuwa ni wakati wako kusikiliza na kujifunza (Mithali 13: 1).

5. Nyamaza ukigundua kwamba maneno yako yataleta picha mbaya (Mithali 17: 27)

6. Nyamaza ukijua kile unachotaka kusema kitaharibu jina na sifa ya mwenzio (Mithali 16: 27).

7. Nyamaza ukijua utakachosema kitaharibu urafiki na kujeruhi mwenzako (1Wakorintho 15: 33)

8. Nyamaza ukigundua kwamba utaaibika baadaye kwa sababu ya ulichokisema (Mithali 8:8).

9. Nyamaza ukijua unachotaka kusema kitamdhalilisha Mungu, wewe mwenyewe au familia yako (1Petro 2: 21-23).

10. Nyamaza ikiwa wakati ulio nao ni wakati wa kazi (Mithali 14: 23).

11. Mtu azuiaye kinywa chake na ulimi wake, atajilinda nafsi yake na taabu (Mithali 21: 23).

Mungu akupe neema ya kujenga nidhamu ya kunyamaza kwa maana maneno ya kinywa chako ni mtego kwako (Mithali 6: 2).
 
Kuna mtu kaji mwambafai kishenz kwenye huu uzi.

Kila thread akipita lazima awe na kauhusika flan na kujiweka juu.

Dah JF is a jungle.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nani huyo humu mna vituko [emoji23][emoji23]
 
Matapeli mnakuja na mbinu mpya kila kukicha
Jana ndo nimeamini jf ina matapeli sijawah fikiria kwa ukubwa huu...sijasema mtoa mada tapeli..ila kuna if fulani jana niliibamba mwishoe akakiri uwii🤣🤣! Anywys nimemsamehe bure kwasababu ni kwel8 maisha magumu..ila dah🙌
 
Jana ndo nimeamini jf ina matapeli sijawah fikiria kwa ukubwa huu...sijasema mtoa mada tapeli..ila kuna if fulani jana niliibamba mwishoe akakiri uwii[emoji1787][emoji1787]! Anywys nimemsamehe bure kwasababu ni kwel8 maisha magumu..ila dah[emoji119]
Jazia nyama ueleweke mkuu
 
Jazia nyama ueleweke mkuu
Ah...kuna watu wana id zaidi y 3...id hii anaomba msaada huu.,id ya 2 anakuambia anauguliwa gonjwa kubwa sana ,ya 3 anaomba mtaji..ss juzi nilimgundua 1 😀!akaomba msamaha maisha magumu ..!Mungu atusaidie
 
Ah...kuna watu wana id zaidi y 3...id hii anaomba msaada huu.,id ya 2 anakuambia anauguliwa gonjwa kubwa sana ,ya 3 anaomba mtaji..ss juzi nilimgundua 1 [emoji3]!akaomba msamaha maisha magumu ..!Mungu atusaidie
Dah, noma sana.
 
Back
Top Bottom