Naomba huu uwazi alioanzisha Rais uwekwe kwenye Sheria na Kanuni

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
15,657
Reaction score
20,967
Nafikiri hii ni glasnost yetu. Mambo mengi japo si yote ya nchi ni vema kuwa wazi. Watu wayajadili na kutoa maoni yao mbalimbali.

Mambo ya umma yanatakiwa kuwekwa wazi na kujadiliwa kwa uhuru. Hapo ndiyo tutaepuka mambo kama yaliyotokea miaka mitano ya JPM.

Sasa hili suala lisiachwe kwa Rais tu. Liwekwe kwenye Sheria na Kanuni ili kila kiongozi alazimike kulifuata atake asitake. Kusiwepo na habari za uongouongo na takwimu za kupika.

Ni vema pia kuwe na Sheria juu ya adhabu kwa kiongozi atakayebainika kusema uongo na kupika takwimu.
 
Very right; KATIBA MPYA. Samia wants to walk free, she must be accountable for all what happened, it is the whole system.
 
Unajidanganya, hakuna mwanasiasa muwazi, hayo uyaonayo ni vile yamevuja.
 
Ni kweli tatizo la nchi nyingi za Africa hakuna sheria imara, mambo mengi ni matamko ya watawala majukwaani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…