Naomba ifanywe kwa dharura: Napendekeza kuanzia Jumamosi iwe ni marufuku mtu kutoka nje ya nyumba yake bila kufunika uso kwa kitambaa/ barakoa/ scarf

Utawanunulia?
 
Chupi mimi ndio niliwanunulia?
Vijana wengi ambao mnaishi kwa mashemeji zenu mnatengenezewa juice kula bure mnajifanya kuona maisha maraisi sana, hujui kuwa watu wanashindwa hata kulipa nauli ya daladala wanatembea kwa miguu, ukiwaongezea gharama za hizo barakoa maana yake wafie ndani siyo, hata huko kwa wataalam USA walilipiga suala la kulazimsha watu kuvaa, suala ni kuchukua tahadhari,
 
Acha kukariri takataka wewe, shemeji shemeji, shemeji ndio upuuzi gani, umeambiwa vaa barakoa unaanza kuleta ngonjera ndeeefu.., hopeless..! Na barakoa hata ya kitambaa inasaidia sana
 
Acha kukariri takataka wewe, shemeji shemeji, shemeji ndio upuuzi gani, umeambiwa vaa barakoa unaanza kuleta ngonjera ndeeefu.., hopeless..!
Kula kulala unanyamba kwenye sofa za shemeji yako unajitia mjuaji huna jipya, tafuta pesa uone isivyopatikana hovyo
 
Kula kulala unanyamba kwenye sofa za shemeji yako unajitia mjuaji huna jipya, tafuta pesa uone isivyopatikana hovyo
Unaongea upuuuzi, shemeji ndio nini wewe.., hatuko hapa kutambiana nani anaingiza kiasi gani, hata nikikuambia haikusaidii kujua mimi au wewe unajamba kwa shemeji yako au la, point is vaa kitambaa, scarf, au kama shemeji yako yupo vizuri, akupe pesa ukanunue barakoa speacial, thats the point
 
Hii serikali inaleta ubishi usio na tija, subiri sasa, mtake msitake lazima mtatangaza hii amri, sirudi nyuma.
 
Ushauri mzr

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hopeless!
 
Asitoke wala asiingie mtu ndani ya jiji hili kwa muda wa siku 15, kwa kufanya hivi tutajiepusha na madhara makubwa sana yanayoweza kuwakumba mababu na mabibi zetu huko mikoani.
Magari ya mizigo tu ndio yaruhusiwe kupita, tudeal na huu ugonjwa humu humu mpaka tuukomeshe kabisa, ni rahisi zaidi kuliko ukisambaa huko mikoani, tutakuja kulaumiana sana hapo baadae, ni ngumu kuamini, ila RC ndio kashikilia uhai wa WaTanzania milioni 60 kwa sasa, yeye ndiye ataamua tufe au tuishi.
Na hapa ndio tunaona umuhimu wa kushiriki katika siasa, tusikubali watu wachache wakahodhi madaraka yote, ni hatari sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…