FRANCIS DA DON JF-Expert Member Joined Sep 4, 2013 Posts 38,920 Reaction score 44,970 Apr 29, 2020 Thread starter #81 Nasikia wasiovaa barakoa wanatembezewa kichapo sasa.. Polisi wameweka kambi Ilala Sokoni, wanashusha abiria wasio na barakoa na kuwacharaza bakora - JamiiForums
Nasikia wasiovaa barakoa wanatembezewa kichapo sasa.. Polisi wameweka kambi Ilala Sokoni, wanashusha abiria wasio na barakoa na kuwacharaza bakora - JamiiForums
FRANCIS DA DON JF-Expert Member Joined Sep 4, 2013 Posts 38,920 Reaction score 44,970 May 11, 2020 Thread starter #82 Napendekeza kuvaa miwani iwe lazima pia Dar es salaam ikiweka lazima ya kuvaa miwani (clear glass) kama ilivyo kwa barakoa, basi tunaweza kuwa nchi ya kwanza kuishinda Corona - JamiiForums
Napendekeza kuvaa miwani iwe lazima pia Dar es salaam ikiweka lazima ya kuvaa miwani (clear glass) kama ilivyo kwa barakoa, basi tunaweza kuwa nchi ya kwanza kuishinda Corona - JamiiForums
M moshin Senior Member Joined Sep 1, 2018 Posts 132 Reaction score 64 May 11, 2020 #83 Elli Mshana said: Sijawahi kujua tuna watu wa hovyo kiasi hiki, tunafanya masiala kwenye Afya za watu. Tutakwisha tukiendelea na kupuuzia mambo ya msingi. Huenda Tanzania tungekua mbali but tunapuuzia kila kitu ni business as usual. Tutaisha Click to expand... Yaani tutaisha Sent using Jamii Forums mobile app
Elli Mshana said: Sijawahi kujua tuna watu wa hovyo kiasi hiki, tunafanya masiala kwenye Afya za watu. Tutakwisha tukiendelea na kupuuzia mambo ya msingi. Huenda Tanzania tungekua mbali but tunapuuzia kila kitu ni business as usual. Tutaisha Click to expand... Yaani tutaisha Sent using Jamii Forums mobile app