GAZETI
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 5,286
- 6,736
Hongera kaka mkubwa, una moyo mnene.Nitazungumza nae kuhusu tatizo lake kwa upendo,kisha nitamwambia madhara ya hiyo kitu,akishajua nitamuuliza kama yuko tayari kuacha,kama jibu ni ndiyo tutatafuta tiba ya ushauri na hatimae ataacha,sitaonesha kumnyanyapaa,bali nitalichukulia kama tatizo la familia na sio lake mwenyewe!