Naomba Jibu

Naomba Jibu

Nadhani wanaume watasema neno lolote lile kuingia ndani ya chupi ya mwanamke..
Especially kama kuna physical attraction fullani hivi, wanaume wengi si wote hawapendi ile
emotional connection na mtu ambae ni wa kumtia tu
. sasa wameshagundua wanawake wingi
wako very sensible kwa mambo mengi.. kwa hiyo kumvuta yule mwanamke karibu na kumfanya yule
mwanamke awe comfortable mbele yake.. basi anachana hayo maneno matatu tu .. " I LOVE YOU"..

shikamoo RV..

Marahaba, Hapo kwenye rangi nyekundu maana yake aisee ni ipi?
 
Nadhani wanaume watasema neno lolote lile kuingia ndani ya chupi ya mwanamke..
Especially kama kuna physical attraction fullani hivi, wanaume wengi si wote hawapendi ile
emotional connection na mtu ambae ni wa kumtia tu.
sasa wameshagundua wanawake wingi
wako very sensible kwa mambo mengi.. kwa hiyo kumvuta yule mwanamke karibu na kumfanya yule
mwanamke awe comfortable mbele yake.. basi anachana hayo maneno matatu tu .. " I LOVE YOU"..

lakini kwa mtu ulie nae kwa muda mrefu , mke, girlfriend/boyfriend, partner etc.... inawia vigumu
kusema hilo neno hovyo... sababu umechangia kipande fulani cha maisha yako na huyo mwenza..
so when you say "I LOVE YOU" you real mean it... hautamki tu sababu unataka kitu fulani kutoka kwake..
nadhani ndio maana wengi walio kwenye mahusiano hawatamki tu randomly ...

shikamoo RV..
koh koh koh!....

baada ya kukohoa kidogo nawatakia wote kwa ujumla wenu weekend njema
 
Nadhani wanaume watasema neno lolote lile kuingia ndani ya chupi ya mwanamke..
Especially kama kuna physical attraction fullani hivi, wanaume wengi si wote hawapendi ile
emotional connection na mtu ambae ni wa kumtia tu. sasa wameshagundua wanawake wingi
wako very sensible kwa mambo mengi.. kwa hiyo kumvuta yule mwanamke karibu na kumfanya yule
mwanamke awe comfortable mbele yake.. basi anachana hayo maneno matatu tu .. " I LOVE YOU"..

lakini kwa mtu ulie nae kwa muda mrefu , mke, girlfriend/boyfriend, partner etc.... inawia vigumu
kusema hilo neno hovyo... sababu umechangia kipande fulani cha maisha yako na huyo mwenza..
so when you say "I LOVE YOU" you real mean it... hautamki tu sababu unataka kitu fulani kutoka kwake..
nadhani ndio maana wengi walio kwenye mahusiano hawatamki tu randomly ...

shikamoo RV..
Eeeheeee....Chinekeee...heyyyy...lol..
 
Hii thread imenipitaje chaudele mie!!!
Baba Mchungaji hapa umegonga ikulu! Ngoja nichukue kalamu na karatasi nijiandae.
 
Nakusubiria mamito! Wanaume wengi wameukimbia maana ni ukweli wasioupenda usikia
 
Hah Mchungaji nahisi nami ninakaribia kukimbia loh! Kumbe hizi I love You's kibao ninazopewa ni kwa kuwa bado SIJAFUNGUKA! So nikishaolewa hazitokuwepo tena!!

Ngoja nimsome vizuri Afro Denzi hapo juu, narudi
 
It is easier to tell a girl friend AMA Kimeo kingine that" I love you" than a wife!! Hayo maneno ni magumu kuyatamka kwa demu uliyepigana Naye mikasi in men's perspective kwanini? I love you before I see your chupi n nyonyo ni rahisi !!! Saidia
Dah hakika si swali rahc hili Baba Mchungaji. Nitajaribu kufikirisha hiki kichwa changu chenye rasta!
Kwanza ni kweli kuwa I love U hutumika sana mwanzoni mwa mapenzi/mahusiano. Na hii hutumika sana kwa kuwa smone need to make that someone special believe him kuwa anampenda kweli. He need to cement that idea ya kuwa anampenda ili amkubali either kumvulia teitei, kuwa kimada/kimeo au awe wife.

After succeeding, mwanaume hana haja tena ya kuendelea kumshawishi mwanamke kuwa anampenda as long as bado wako pamoja. Na badala yake task inageukia kwa mdada ambaye sasa ndie mwenye kuimba 143's mpaka inakera kwa sababu anataka kumkeep huyu mwanaume.
 
Wanaume bana! Hapo ndo tunapowashinda akili na ujanja wa mjini! Kwani kama wakati ukimfukuzia ulimuambia 'I lavuu yuuu' na akafunguka, as long as unahitaji aendelee kuwa mke mwema kwako itakugharimu sh ngapi kuendelea kumuambia? Mie nimeshuhudia mtu anaimbisha mdada mwingine na kila akiongea na mkewe anamuambia 'I lavuu yuu'. Nyumbani shwari, mtaani kama alivyopanga. Ngoja nisiseme sana, mweh!
 
Hahahaha umenena mpendwa halafu mara nyingi ukisikia mbaba anakazania I love you ndoani ujue kaharibu anabembeleza amani irudi!
 
Back
Top Bottom