Masanilo
Platinum Member
- Oct 2, 2007
- 22,286
- 4,523
- Thread starter
- #41
Nadhani wanaume watasema neno lolote lile kuingia ndani ya chupi ya mwanamke..
Especially kama kuna physical attraction fullani hivi, wanaume wengi si wote hawapendi ile
emotional connection na mtu ambae ni wa kumtia tu. sasa wameshagundua wanawake wingi
wako very sensible kwa mambo mengi.. kwa hiyo kumvuta yule mwanamke karibu na kumfanya yule
mwanamke awe comfortable mbele yake.. basi anachana hayo maneno matatu tu .. " I LOVE YOU"..
shikamoo RV..
Marahaba, Hapo kwenye rangi nyekundu maana yake aisee ni ipi?