Nadhani wanaume watasema neno lolote lile kuingia ndani ya chupi ya mwanamke..
Especially kama kuna physical attraction fullani hivi, wanaume wengi si wote hawapendi ile
emotional connection na mtu ambae ni wa kumtia tu. sasa wameshagundua wanawake wingi
wako very sensible kwa mambo mengi.. kwa hiyo kumvuta yule mwanamke karibu na kumfanya yule
mwanamke awe comfortable mbele yake.. basi anachana hayo maneno matatu tu .. " I LOVE YOU"..
shikamoo RV..
koh koh koh!....Nadhani wanaume watasema neno lolote lile kuingia ndani ya chupi ya mwanamke..
Especially kama kuna physical attraction fullani hivi, wanaume wengi si wote hawapendi ile
emotional connection na mtu ambae ni wa kumtia tu. sasa wameshagundua wanawake wingi
wako very sensible kwa mambo mengi.. kwa hiyo kumvuta yule mwanamke karibu na kumfanya yule
mwanamke awe comfortable mbele yake.. basi anachana hayo maneno matatu tu .. " I LOVE YOU"..
lakini kwa mtu ulie nae kwa muda mrefu , mke, girlfriend/boyfriend, partner etc.... inawia vigumu
kusema hilo neno hovyo... sababu umechangia kipande fulani cha maisha yako na huyo mwenza..
so when you say "I LOVE YOU" you real mean it... hautamki tu sababu unataka kitu fulani kutoka kwake..
nadhani ndio maana wengi walio kwenye mahusiano hawatamki tu randomly ...
shikamoo RV..
Eeeheeee....Chinekeee...heyyyy...lol..Nadhani wanaume watasema neno lolote lile kuingia ndani ya chupi ya mwanamke..
Especially kama kuna physical attraction fullani hivi, wanaume wengi si wote hawapendi ile
emotional connection na mtu ambae ni wa kumtia tu. sasa wameshagundua wanawake wingi
wako very sensible kwa mambo mengi.. kwa hiyo kumvuta yule mwanamke karibu na kumfanya yule
mwanamke awe comfortable mbele yake.. basi anachana hayo maneno matatu tu .. " I LOVE YOU"..
lakini kwa mtu ulie nae kwa muda mrefu , mke, girlfriend/boyfriend, partner etc.... inawia vigumu
kusema hilo neno hovyo... sababu umechangia kipande fulani cha maisha yako na huyo mwenza..
so when you say "I LOVE YOU" you real mean it... hautamki tu sababu unataka kitu fulani kutoka kwake..
nadhani ndio maana wengi walio kwenye mahusiano hawatamki tu randomly ...
shikamoo RV..
I Love You mzee wa Reverse na Front.
I Love you FF! Kumbuka siimanishi hivyo
Hah Mchungaji nahisi nami ninakaribia kukimbia loh! Kumbe hizi I love You's kibao ninazopewa ni kwa kuwa bado SIJAFUNGUKA! So nikishaolewa hazitokuwepo tena!!Nakusubiria mamito! Wanaume wengi wameukimbia maana ni ukweli wasioupenda usikia
Dah hakika si swali rahc hili Baba Mchungaji. Nitajaribu kufikirisha hiki kichwa changu chenye rasta!It is easier to tell a girl friend AMA Kimeo kingine that" I love you" than a wife!! Hayo maneno ni magumu kuyatamka kwa demu uliyepigana Naye mikasi in men's perspective kwanini? I love you before I see your chupi n nyonyo ni rahisi !!! Saidia
Wanaume bana! Hapo ndo tunapowashinda akili na ujanja wa mjini! Kwani kama wakati ukimfukuzia ulimuambia 'I lavuu yuuu' na akafunguka, as long as unahitaji aendelee kuwa mke mwema kwako itakugharimu sh ngapi kuendelea kumuambia? Mie nimeshuhudia mtu anaimbisha mdada mwingine na kila akiongea na mkewe anamuambia 'I lavuu yuu'. Nyumbani shwari, mtaani kama alivyopanga. Ngoja nisiseme sana, mweh!