Naomba jina la Mbunge aliyesema Yuko tayari kuua ili apate Ubunge

Naomba jina la Mbunge aliyesema Yuko tayari kuua ili apate Ubunge

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
61,459
Reaction score
100,799
Nimesahau jina la Mbunge, naombeni Sana anayemkumbuka.....kama sio bunge la 2015-2020 basi ni hili la sasa ila Magufuli alikua hajavuta bado.

Alikuwa Mbunge wa kike na aliyatamka Maneno kuwa "kwa namna Ubunge ulivyomtamu, Yuko tayari kuua ili apate/asikose Ubunge". Tafadhali mwenye ako nayo Ile clip au jina la Mbunge.

Natanguliza shukrani, najua JF kila kitu kinawezekana
 
Nimesahau jina la Mbunge, naombeni Sana anayemkumbuka.....kama sio bunge la 2015-2020 basi ni hili la sasa ila Magufuli alikua hajavuta bado.

Alikua Mbunge wa kike na aliyatamka Maneno kuwa "kwa namna Ubunge ulivyomtamu, Yuko tayari kuuwa ili apate/asikose Ubunge" . Tafadhali mwenye ako nayo Ile clip au jina la Mbunge.

Natanguliza shukrani, najua JF kila kitu kinawezekana
Wanakuja grave digger
 
Back
Top Bottom